Mimba za kuzimu

Mimba za kuzimu

Mi nashangaa kuona mzazi anapiga mtoto kwa qhadhabu zote mpaka kuuwa huwa nawaza tu hivi huyu kiumbe kapataje huyu mtoto?

Nikishuhudia mama anapiga mtoto hata kama nikisikia mtoto analia kwa kipigo kikali kwa jirani huwa sijali nani anapiga ni lazima nitetee kwa hasira zote na bahati sijawahi kujibiwa na mpigaji maana wakiniangalia huwa wanapoa wenyewe kwa maneno yangu yalivyo.

Hao nao ni misukule inayowaliza wazazi?
 
Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.

Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.

Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.

Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!

Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Wewe Mshana Kunya acha hizo Tabia za kuthibitiha uwepo wa UCHAWI au WACHAWI.Ujue kila siku tunapoteza ndugu zetu ALBINO sababu ya imani za KISHIRIKINA.,wewe ndio unajifanya GWIJI au KINARA wa kujua na kuthibitiha kuwepo kwa nguvu za GIZA wakati hakuna uchawi ushirikina hapa Duniani.ACHA PROMO ZA KIZUSHI.
 
Mshana umenifanya niwaze mengi naomba mada yako nyingine iwe ya chale wanazochanja watu.

Kwa kweli mi najua uchawi upo ila siuamini kabisa yaani siyatilii maanani na huwa nawasanifu sana wanaojichanja chale, kama jamaa mmoja nikamuona kachanja chale ( yaani bado hata zile rangi nyeusi hazijafutika) kama ndio kachanjwa nikamwambia vipi hapo upo dunia ya wapi? Maana hizo chale ni visible sijui zingine ziko wapi kkkk
 
Wewe Mshana Kunya acha hizo Tabia za kuthibitiha uwepo wa UCHAWI au WACHAWI.Ujue kila siku tunapoteza ndugu zetu ALBINO sababu ya imani za KISHIRIKINA.,wewe ndio unajifanya GWIJI au KINARA wa kujua na kuthibitiha kuwepo kwa nguvu za GIZA wakati hakuna uchawi ushirikina hapa Duniani.ACHA PROMO ZA KIZUSHI.
Wacha wee...! Post nyingine ni stress remover wallah
 
We Mshana sio sifa kujifanya kuongelea mambo ya UCHAWI na USHIRIKINA kwenye mitandao ya jamii kwani kufanya hivyo ni KUTHIBITISHIA jamii kuwa UCHAWI na USHIRIKINA upo hapa Duniani hakuna UPUMBAVU huo weweeeeeee.
 
Labda ungependa niongelee nini kwa mfano kwenye hiyo mitandao ya kijamii?
 
Wacha wee...! Post nyingine ni stress remover wallah
Stress remover?,mambo ya hatari unaita stress remover?,ungekuwa una ndugu au mtoto ALBINO sidhani kama ungethubutu kuandika hayo mambo ya kishirikina au uwepo wa UCHAWI kila siku bila kubadilisha,yaani wewe kila muda ni UCHAWI TU NA USHIRIKINA,NAOMBA MODS WA KUFUTE HUMU.
 
Nakushukuru leo umeandika na kuuliza bila vitisho kama kawaida yako coz siku ile uliniambia nije Manzese TipTop ili unionyeshe KungFU,leo nasema ubarikiwe na ubadilishe TOPIC sio mambo ya Uchawi.
 
hv ww jamaa ni mchawi? mbna nyuzi zako zimekaaga kimiujiza miujiza?
 
Labda ungependa niongelee nini kwa mfano kwenye hiyo mitandao ya kijamii?
Kaka Mshana Jr, nafikiri huyu jamaa anashindwa kutofautisha kati Reality na Makaratasi. Anashindwa kujua kwmb uchawi ulikuwepo hata kabla ya ninyi, wazazi wenu na hata kabla ya babu zenu kuzaliwa.

Labda nimkumbushe kitu, watu walikufa kwa imani za kishirikina tangu enzi za manabii. Ninachoona hapa ni kwmb, huyu jamaa anayekupinga atakuwa na tatizo binafsi maana hata ungekaa kimya usiuzungumzie uchawi, uchawi bado utakuwepo tu ndio maana hata neno uchawi lipo coz uchwi upo.

Mimi nafikiri ni tatzo la uelewa au anakupima tu utamjibu nini maana naamini yeye ni mtu mzima na hakuna asichokijua labda awe na tatzo la uelewa.
 
Ongelea siasa,utamaduni,michezo,uchumi,tiba za asili sio za kishirikina etc,etc .....

Nakushukuru leo umeandika na kuuliza bila vitisho kama kawaida yako coz siku ile uliniambia nije Manzese TipTop ili unionyeshe KungFU,leo nasema ubarikiwe na ubadilishe TOPIC sio mambo ya Uchawi.
Nimeshakukumbuka bado na kukaribisha tiptop si kwa shari bali kwa heri..katika maisha kuna fani nyingi katika maisha na ndio maana tukifika form 3 tunachagua comb. ..
 
Stress remover?,mambo ya hatari unaita stress remover?,ungekuwa una ndugu au mtoto ALBINO sidhani kama ungethubutu kuandika hayo mambo ya kishirikina au uwepo wa UCHAWI kila siku bila kubadilisha,yaani wewe kila muda ni UCHAWI TU NA USHIRIKINA,NAOMBA MODS WA KUFUTE HUMU.
 
e04c18d84b73266ac6ca6981728193ca.jpg

Mambo yameanza......
 
Usemalo lipo.....Ukwelii upo. Ukisikiza Praise Power Radio 99.30FM saa 12:30 alfajiri (siku za kazi) ...utajua haya mambo yapo kiuhalisia
 
Tusome Biblia jamani.Imeandikwa kutakuwepo na manabii wa uongo.Hakuna mahali palipoandikwa kutakuwa na manabii zama hizi.Ila wa uongo wapo na watakuwepo hawana tofauti na wapiga ramli wa kawaida.
 
Hujamaliza, hata hujaanza bado.

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Unaamini katika hadithi isiyothibitishika.

Kati yako unayeamini katika kitu ambacho huwezi kuthibitisha na mimi ninayekuuliza maswali ambayo umeshindwa kuyajibu, nani ana matatizo hapa?

Hahaha!!! waulize NASA kwa nini hawataki tena kwenda mwezini!! Oooh! Napita tu I'm sorry.
"Kama kitu hukijui haina maana kuwa hakipo"
 
Back
Top Bottom