gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
kwani bibi hakuamkii? naye si ni mzee mwenzetu? sisi wazee wa zamani tunaamkia wababa bwana, usiniangushe mzee mwenzangu
umenichekesha @fp, manake wazee wa zamani hata waume tunawaita baba lol!
kibaya zaid unakuta mtaani unaitwa mama fulan ila kwa ubini wa mumeo like mume anaitwa rojas basi wanakuita mama rojas. Yaani mm hadi nimeshazoeleka kuna siku niliwaambia watu sijamzaa mm huyu mtu mzima na midevu yake watu walishangaa sana manake wananiita mama.............. kumbe huyu .............ndo mume lol! ndoa za zamani full vituko.