Military Politics: Is Magufuli in danger?

Military Politics: Is Magufuli in danger?

Nonsense, hauko peke yako uliyebahatika kuziona awamu zote. Lazima tukubali kuwa rais ni mtu kama wewe au mimi na kwamba sio Mungu kwamba yeye hafanyi makosa.

Hii hulka ya kumuona mtawala kama Mungu ni moja ya sababu zinazofanya Afrika iwe hapa ilipo na iendelee kuwa "The Laughing Stock of the World".

Pale watu kama wewe watakapopungua to a reduced minimum na walio na mtizamo kinzani na huo wa kwako kuwa wengi, hatutabaki tena hapa tulipo na hii inadhihirisha wazi kuwa mtu kama wewe akipata fursa ya kukalia kiti cha enzi kamwe hautakubali mawazo yenye kukinzana na ya kwako, ni wazi 100% kuwa utakuwa mu-imla tu. Kwa mtizamo wangu, hufai kabisa.
Fact
 
Police wao washamaliza kipengele chao cha wizi wa kura jeshi korosho na kufunga maduka ya kubadirisha pesa
 
Ukiwamshauri wa rais, unaona wenzako waliojaribu kumshauri wamefukuzwa kazi, rais ndiye mshauri wa washauri wake.

Na wewe unaipenda kazi yako, utafanya nini?

Utamshauri rais tofauti na anavyotaka kusikia ufyekwe na wewe?
Mimi ninge mshauri ukweli based on facts sio kumsifia. Wasio mpa Raisi wetu ukweli hawampendi na kumtakia mema
 
Rais anatumia Jeshi kama vibaraka wake wa kutekelezasera zake za kisiasa.
Asichokijua Rais ni kwamba Jeshi(JWTZ)ni jeshi la ULINZI na sio KIKOSI cha uzalishaji mali.
JWTZ wanapaswa kulinda amani ya nchi na majirani zetu sio kwenda kufanya kazi za JKT!
Rais wetu hana staha kabisa ......JWTZ wapo kwa kazi za kifani sio kubangua korosho.....hawa wachache anaowateua kwenye nyadhifa za kisiasa sio wawajibikaji wa jeshi maana wengi wao ni wastaafu(wanajeshi hawastaafu kwenye fani zao za kijeshi)...!
Wanajeshi hatuchagui mission bro,ilimradi tu iwe ni kwa maslahi ya taifa. Kosa ni kufikiri kwamba jeshi limahisika na vita ya bunduki tu na kusahau vita zingine
 
Mimi ninge mshauri ukweli based on facts sio kumsifia. Wasio mpa Raisi wetu ukweli hawampendi na kumtakia mema

Sawa,ndivyo tunavyotaka.

Kuna mtu anaitwa Lawrence Mafuru, ni banker anayeheshimika kimataifa. Alikuwa Msajili Hazina hapo.

Alimshauri rais dhidi ya kubana sana mzunguko wa fedha kwa mara moja, akampa hoja za kisomi na njia mbadala za kufuata ilikupata matokeo yale yale aliyoyataka rais,bila kuharibu uchumi.

Rais akakataa,akampiga Mafuru bench.

Sasa hivi tunaona ushauri wa Mafuru ulivyopuuzwa, matatizo ya mzunguko wa fedha yaliyopo nchini.

Mtu kama huyu inatakiwa unamshauri, akikataa, unajiuzulu, unaanika madudu yote kutoka nje watu wajue.
 
Hahahaaa wanajeshi wanajenga madaraja wakati wa mafuriko hujaonaga wakiokoa watu pia?? Kimsingi kwenye jambo la dharura linalohitaji nguvu kubwa na utendaji timilifu jeshi ni muafaka zaidi. Dunia ya Leo vita ni vya kiuchumi zaidi sasa tusikariri wanajeshi hutumika kwenye vita vya kuuwana tuu. Tunachelewa kumwelewa Rais lkn iposiku tutamsifu kwa hatua za mabadiliko anazotuletea. Jeshiletu na liendelee kumtii amiri jeshi mkuu huku likipambana kuilinda nchi na wahuni,wezi na wahujumu uchumi,anayetaka kuwapa kazi ya vita tuu asubiri mpaka pale atapokuwa amirijeshi mkuu.
 
Sawa,ndivyo tunavyotaka.

Kuna mtu anaitwa Lawrence Mafuru, ni banker anayeheshimika kimataifa. Alikuwa Msajili Hazina hapo.

Alimshauri rais dhidi ya kubana sana mzunguko wa fedha kwa mara moja, akampa hoja za kisomi na njia mbadala za kufuata ilikupata matokeo yale yale aliyoyataka rais,bila kuharibu uchumi.

Rais akakataa,akampiga Mafuru bench.

Sasa hivi tunaona ushauri wa Mafuru ulivyopuuzwa, matatizo ya mzunguko wa fedha yaliyopo nchini.

Mtu kama huyu inatakiwa unamshauri, akikataa, unajiuzulu, unaanika madudu yote kutoka nje watu wajue.
Na huo ushauri wa Mafuru kupuuzwa ndo tunaona madhara yake sasa yalivo makubwa kwa uchumi wa nchi yetu.

Hao wengine kujiuzulu ni ngumu sana wao ni wataalamu Ila wanashauriwa na asiye mtaalamu. Tutapata tabu sana
 
Wanajeshi hatuchagui mission bro,ilimradi tu iwe ni kwa maslahi ya taifa. Kosa ni kufikiri kwamba jeshi limahisika na vita ya bunduki tu na kusahau vita zingine
Katika ulimwengu huu wa leo wa information, kuliingiza jeshi katika biashara kwa style hii ni kiashiria tosha kinachoweza kuangusha uchumi.

The Economist wataandika "Tunaposema Magufuli anatumia command economy hayo si maneno tu, anatumia jeshi kulazimisha mambo kama bei za mazao kwenye biashara".

Halafu tutalalamika wawekezaji hawaji.
 
Anafikiri anavyopiga story na CDF basi hata wapiganaji wanawaza kama boss wao.
 
Rais anatumia Jeshi kama vibaraka wake wa kutekelezasera zake za kisiasa.
Asichokijua Rais ni kwamba Jeshi(JWTZ)ni jeshi la ULINZI na sio KIKOSI cha uzalishaji mali.
JWTZ wanapaswa kulinda amani ya nchi na majirani zetu sio kwenda kufanya kazi za JKT!
Rais wetu hana staha kabisa ......JWTZ wapo kwa kazi za kifani sio kubangua korosho.....hawa wachache anaowateua kwenye nyadhifa za kisiasa sio wawajibikaji wa jeshi maana wengi wao ni wastaafu(wanajeshi hawastaafu kwenye fani zao za kijeshi)...!
Wasiwasi wangu ni kwamba nchi iko hatarini, tunaweza kuvamiwa na ka nchi kama Malawi wakati wanajedhi wetu wako busy wanabangua korosho
 
In short tuseme tu kuwa ana-abuse power tuliyompa ya u-kamanda-in-chifu vibaya mno

Kuna haja ya Bunge kuanza process ya kumu-impeach huyu Bwana kabla nchi yetu haijatumbukia jumla jumla shimoni
Impeachment kwa bunge lipi? Hili bunge dodoki la Ndugai au? Hawa ni wapiga makofi, in America they call them ass kisser
 
Loyalty ya jeshi kwa rais huvunjika hali inapokuwa mbaya na rais kawa madarakani muda mrefu, hapa Tz mpaka army ije poteza loyalty kwa rais bado sana. Mnayoongea ni ya kufikirika na kufurahisha genge.
Jipe moyo
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
Hebu%20jaribu%20kueleza%20ujumbe%20una%C3%B2jitokeza%20kwenye%20mchoro%20huu%20wa%20katuni%20...jpeg
 
Chama cha kisiasa kinapo nadi Sera zake kwenye kampeni kikashinda uchaguzi maana yake ni kwamba kitakapo kabidhiwa dola bila kuvunja katiba ya nchi kitatumia rasilimali zilizomo nchini kutimiza ilani zake kwahiyo punguzeni CHUKIMIHEMKO.
Kilishinda sasa?
 
Nonsense, hauko peke yako uliyebahatika kuziona awamu zote. Lazima tukubali kuwa rais ni mtu kama wewe au mimi na kwamba sio Mungu kwamba yeye hafanyi makosa.

Hii hulka ya kumuona mtawala kama Mungu ni moja ya sababu zinazofanya Afrika iwe hapa ilipo na iendelee kuwa "The Laughing Stock of the World".

Pale watu kama wewe watakapopungua to a reduced minimum na walio na mtizamo kinzani na huo wa kwako kuwa wengi, hatutabaki tena hapa tulipo na hii inadhihirisha wazi kuwa mtu kama wewe akipata fursa ya kukalia kiti cha enzi kamwe hautakubali mawazo yenye kukinzana na ya kwako, ni wazi 100% kuwa utakuwa mu-imla tu. Kwa mtizamo wangu, hufai kabisa.

ni rahisi kujua wewe ni mtu wa aina gani kwa kauli yako hii...kumuombea mwenzako apungue yaani unamuiombea kifo,,kumwambia mwenzako ni kauli za shari...ni bahati mbaya mno kwa nchi yetu kwa mtu kutoa kauli za aina hiyo..baadala ya kuleta hoja wewe unaendeshwa na mihemko...
 
Nianze kwa kusema kwamba miaka mitatu inatosha

JPM anatumia Jeshi katika operesheni mbalimbali lakini je anaelewa kwamba The army has no loyalty?Katika siasa za majeshi mwanajeshi hafundishwi siasa ya loyalty anafundishwa survival.

Unapoamua kutumia Jeshi katika operesheni yoyote ila lazima iwe na lengo moja Kutishia,kuogopesha na kushurutisha.Lakini unapolitumia Jeshi kushughulika na mambo ya raia unatakiwa ujue kwamba mahaba kati ya Jeshi na Raia yanaweza kufanya kuibuka kwa mawazo ya kimapinduzi kwa wanajeshi hasa iwapo unawatumia kukandamiza wananchi na wanyonge.

Kumbuka Soldiers have no Loyalty,they train to survive.

Nimshauri tu mheshimiwa raisi hata kama hana imani na watendaji wa serikali yake awe makini na matumizi ya jeshi letu.

Asiwageuze wanajeshi wetu vibarua wakutumwa kushughulikia hata issue zisizo na maslahi ya taifa.

Ha wa watu hawajawa trained kubeba magunia ya korosho na kubangu,Hawajawa trained kujenga kuta na kufanya shughuli za suluba.Wamefundishwa Vita,Kama usipowapa Vita watakuletea Vita.
huyu jamaa angekua na hadhi ya kijeshi kama kikwete au kinana sijui angefanya jambo gani........

nilimsikia akijisifia siku ile ya kukagua magari, et alienda jkt wkt karibia kila mtanzania over 45 ameenda huko....... jamaa wa ajabu sn kwa kupenda sifa
 
Back
Top Bottom