Labda bunge la somalia na sii hiki kikao cha CCM kinachoketi chini ya Ndugai.In short tuseme tu kuwa ana-abuse power tuliyompa ya u-kamanda-in-chifu vibaya mno
Kuna haja ya Bunge kuanza process ya kumu-impeach huyu Bwana kabla nchi yetu haijatumbukia jumla jumla shimoni
Hahahahahah...utabiri wa TB Joshua utatimia pundeSasa awatume majenerali katika operesheni,na baadae igundulike wamesababisha hasara ya mamia ya mabilioni,na yeye ajipange kuwapeleka mahakamani,hapo ndio wanajeshi watatumia survival technique ili wasipelekwe kortini
kapangiwa hukuIGP kashindwa kazi?
Uzi mzito huu!! Siongezi neno. Naamini mwandishi ni mwanajeshi au ana uzoefu na mambo ya kijeshiNianze kwa kusema kwamba miaka mitatu inatosha
JPM anatumia Jeshi katika operesheni mbalimbali lakini je anaelewa kwamba The army has no loyalty?Katika siasa za majeshi mwanajeshi hafundishwi siasa ya loyalty anafundishwa survival.
Unapoamua kutumia Jeshi katika operesheni yoyote ila lazima iwe na lengo moja Kutishia,kuogopesha na kushurutisha.Lakini unapolitumia Jeshi kushughulika na mambo ya raia unatakiwa ujue kwamba mahaba kati ya Jeshi na Raia yanaweza kufanya kuibuka kwa mawazo ya kimapinduzi kwa wanajeshi hasa iwapo unawatumia kukandamiza wananchi na wanyonge.
Kumbuka Soldiers have no Loyalty,they train to survive.
Nimshauri tu mheshimiwa raisi hata kama hana imani na watendaji wa serikali yake awe makini na matumizi ya jeshi letu.
Asiwageuze wanajeshi wetu vibarua wakutumwa kushughulikia hata issue zisizo na maslahi ya taifa.
Ha wa watu hawajawa trained kubeba magunia ya korosho na kubangu,Hawajawa trained kujenga kuta na kufanya shughuli za suluba.Wamefundishwa Vita,Kama usipowapa Vita watakuletea Vita.
Jeshi limekuwa la kuchunga maduka ya kubadilsha fedha,kila duka kifaru kimoja au APC huyu raisi wamemtoa katika zana kale za mawe sijui alikuwa amejificha wapi hafi leo.
Loyalty ya jeshi kwa rais huvunjika hali inapokuwa mbaya na rais kawa madarakani muda mrefu, hapa Tz mpaka army ije poteza loyalty kwa rais bado sana. Mnayoongea ni ya kufikirika na kufurahisha genge.Nianze kwa kusema kwamba miaka mitatu inatosha
JPM anatumia Jeshi katika operesheni mbalimbali lakini je anaelewa kwamba The army has no loyalty?Katika siasa za majeshi mwanajeshi hafundishwi siasa ya loyalty anafundishwa survival.
Unapoamua kutumia Jeshi katika operesheni yoyote ila lazima iwe na lengo moja Kutishia,kuogopesha na kushurutisha.Lakini unapolitumia Jeshi kushughulika na mambo ya raia unatakiwa ujue kwamba mahaba kati ya Jeshi na Raia yanaweza kufanya kuibuka kwa mawazo ya kimapinduzi kwa wanajeshi hasa iwapo unawatumia kukandamiza wananchi na wanyonge.
Kumbuka Soldiers have no Loyalty,they train to survive.
Nimshauri tu mheshimiwa raisi hata kama hana imani na watendaji wa serikali yake awe makini na matumizi ya jeshi letu.
Asiwageuze wanajeshi wetu vibarua wakutumwa kushughulikia hata issue zisizo na maslahi ya taifa.
Ha wa watu hawajawa trained kubeba magunia ya korosho na kubangu,Hawajawa trained kujenga kuta na kufanya shughuli za suluba.Wamefundishwa Vita,Kama usipowapa Vita watakuletea Vita.
Commander in chif, army itatekeleza chochote wanachoambiwa na c in c.In short tuseme tu kuwa ana-abuse power tuliyompa ya u-kamanda-in-chifu vibaya mno
Kuna haja ya Bunge kuanza process ya kumu-impeach huyu Bwana kabla nchi yetu haijatumbukia jumla jumla shimoni
Apigane na madeniLabda ana tamani kupigana vita.
Unakumbuka ya nyerere ....?!Loyalty ya jeshi kwa rais huvunjika hali inapokuwa mbaya na rais kawa madarakani muda mrefu, hapa Tz mpaka army ije poteza loyalty kwa rais bado sana. Mnayoongea ni ya kufikirika na kufurahisha genge.
anapotea huyo.asije akajaribu kuzifunga hizo bureu de change.ndo utakuwa mwisho wa shilingi.Apigane na madeni
Kama usipowapa vita watakuletea vita.... [emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Nianze kwa kusema kwamba miaka mitatu inatosha
JPM anatumia Jeshi katika operesheni mbalimbali lakini je anaelewa kwamba The army has no loyalty?Katika siasa za majeshi mwanajeshi hafundishwi siasa ya loyalty anafundishwa survival.
Unapoamua kutumia Jeshi katika operesheni yoyote ila lazima iwe na lengo moja Kutishia,kuogopesha na kushurutisha.Lakini unapolitumia Jeshi kushughulika na mambo ya raia unatakiwa ujue kwamba mahaba kati ya Jeshi na Raia yanaweza kufanya kuibuka kwa mawazo ya kimapinduzi kwa wanajeshi hasa iwapo unawatumia kukandamiza wananchi na wanyonge.
Kumbuka Soldiers have no Loyalty,they train to survive.
Nimshauri tu mheshimiwa raisi hata kama hana imani na watendaji wa serikali yake awe makini na matumizi ya jeshi letu.
Asiwageuze wanajeshi wetu vibarua wakutumwa kushughulikia hata issue zisizo na maslahi ya taifa.
Ha wa watu hawajawa trained kubeba magunia ya korosho na kubangu,Hawajawa trained kujenga kuta na kufanya shughuli za suluba.Wamefundishwa Vita,Kama usipowapa Vita watakuletea Vita.
Kuna vifaa vya kubebea magunia cranesWame improve siku hizi, kutoka kubeba mapochi ya watumishi wa serikali mpaka kubeba magunia ya korosho.