mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,043
- 137,220
Basi tushajua umefika uswizHivi hata unaelewa maana ya Jeshi? Unajua hata JKT ni Jeshi pia? Sasa unajua kazi JKT wanazofanya?
Mimi nimefika Uswisi wanaolinda Balozi za nchi mbali mbali ni Wanajeshi wa Uswisi na siyo Polisi, yaani ukienda Ubalozini unakutana na Mwanajeshi wa Uswisi analinda!
Ova