Whatever we use in saving our economy it must be well calculated for the positive impact. whether we use armed forces,intelectuals, politician,peasant, whatever it mut be in way of positive results.Bila kutumia watu wenye weledi katika hilo tutafeli, tukitumia ubavu wa madaraka kwenye maamuzi yanayohitaki utaalamu tutafeli,sehemu kubwa ya vitu tunavyovitegemea kutupa mapato ya forex kama nchi soko lake kubwa sio sisi ni wakubwa hao.Tufanye siasa zetu, ujanja wetu wote hapo ndio break, bei ya korosho inayumba kwa sababu consumers saudia na US wanagoma kununua at a higher price, vivyo hivyo wakiamua kwenye madini, kwenye tumbaku, kwenye samaki, every where, midege yetu kama tumeileta kufanya biashara hasa kupitia utalii wakiamua kutupiga wanatupiga tu, watasema TZ co salama kwenda,Samaki watasema ina Salmonela,kwa mwenye kumbukumbu anakumbuka kuhusu TIFANY, waliweka vikwazo kidogo tu kwenye Tanzanite hali ikabadilika,Na tukumbuke masoko hayo sio ya kwenda tu na kuuza kuna makampuni yamelikamata soko maana yake mwisho wa siku utawauzia wao tu. Kama nchi ni lazima tuusome uchumi wa Dunia yote na tutumie elimu hiyo kufanya maamuzi ya kujenga uchumi wetu. NG'WABEJA SANA