Military Politics: Is Magufuli in danger?

Military Politics: Is Magufuli in danger?

Mzee soldiers are warriors.Any other duty/training is militaristic.Yaani hata ukiwa mpishi,Daktari,Rubani,Mwalimu,Mkunga etc ni wa Kijeshi sio kwa ajili ingine
nimekupata mkuu wewe kweli expert member wa jf tunaelimishana sio mwingine ukichalenge post yake anaanza kukumwagia mitusi badala ya kujibu hoja ya msingi, ata akipost upupu anataka umsifie tu kama naniii, umeiva mkuu keep it up.
 
Wafanye kazi haswaaa maswala ya kukaa na kunywa Pombe ambazo zimeondolewa kodi na baadhi ya bidhaa utadhan wao ni RAIA wa Brunei hiyo sio sawa yani na korosho wabangue tu kwa Meno sindoukakamavu wenyewe huo mbona wanapasuaga mawe kwa vichwa? Na kila asubuhi inabidi wawe wanadeki na Barabara za lami maana hili ni jeshi letu
 
Kazi gani zaidi ya lindo wewe.acheni wafanye KAZI wajenge nchi yetu
Sipingi kwamba waaifanye kazi.
Kazi gani zaid ya lindo? Kwa taarifa yako kada unaziona huku uraiani na kule kambini zipo. Watu wenye fani zote wapo na wanachapa kazi.muda wote. Labda.hujawahi kuishi kambini.. haya uwezi yajua.. lakin kama umewah utafaham wanavyochapa kaz
 
Toeni ujinga wenu hapa..watu wanakaa hawana kazi wanakunywa tu bia na kula mishahara..Ni lazima washiriki na shughuli za uchumi..kaulizie nchi ya Misri ni Vipi imepiga hatua.
We pusi wa uchochoroni, hujui kuwa Misri, Pakistan India na nchi nyingine wana kitu kinaitwa Military Industrial Complexes mfano wa mradi wa Nyumbu au Mzinga.

Hizi mnazoona siyo initiative ya jeshi. Jeshi wakilinda maduka watakuwa na muda gani kudesign vifaa vya kijeshi!
 
Hivi hata unaelewa maana ya Jeshi? Unajua hata JKT ni Jeshi pia? Sasa unajua kazi JKT wanazofanya?
Mimi nimefika Uswisi wanaolinda Balozi za nchi mbali mbali ni Wanajeshi wa Uswisi na siyo Polisi, yaani ukienda Ubalozini unakutana na Mwanajeshi wa Uswisi analinda!
 
Toeni ujinga wenu hapa..watu wanakaa hawana kazi wanakunywa tu bia na kula mishahara..Ni lazima washiriki na shughuli za uchumi..kaulizie nchi ya Misri ni Vipi imepiga hatua.

Misri kuna wanajeshi kwenye forex si bora wangeenda kutengeneza madarasa au madawati
 
Nianze kwa kusema kwamba miaka mitatu inatosha

JPM anatumia Jeshi katika operesheni mbalimbali lakini je anaelewa kwamba The army has no loyalty?Katika siasa za majeshi mwanajeshi hafundishwi siasa ya loyalty anafundishwa survival.

Unapoamua kutumia Jeshi katika operesheni yoyote ila lazima iwe na lengo moja Kutishia,kuogopesha na kushurutisha.Lakini unapolitumia Jeshi kushughulika na mambo ya raia unatakiwa ujue kwamba mahaba kati ya Jeshi na Raia yanaweza kufanya kuibuka kwa mawazo ya kimapinduzi kwa wanajeshi hasa iwapo unawatumia kukandamiza wananchi na wanyonge.

Kumbuka Soldiers have no Loyalty,they train to survive.

Nimshauri tu mheshimiwa raisi hata kama hana imani na watendaji wa serikali yake awe makini na matumizi ya jeshi letu.

Asiwageuze wanajeshi wetu vibarua wakutumwa kushughulikia hata issue zisizo na maslahi ya taifa.

Ha wa watu hawajawa trained kubeba magunia ya korosho na kubangu,Hawajawa trained kujenga kuta na kufanya shughuli za suluba.Wamefundishwa Vita,Kama usipowapa Vita watakuletea Vita.
Wataona kama wanafanyishwa kazi ambayo siyo yao. Nijuavyo wanajeshi utumika inapotokea dharura lkn siyo kama hivi sasa mara kabangueni korosho mara kakaaeni milangoni bank. Ila wanaofanyishwa kazi hizo cdhani kama ni wanajeshi waliyo qualified naona ni wale vijana waliodanganywa kwa ajira za jeshini. Ni vijana wetu walioenda kwenye mafunzo ili baadae wapate ajira ndio Magufuli anawafanyisha kazi wakitegemea kuja kupata ajira. Msimwone Magufuli anavyoongea kwa jazba na kujitutumua kuwa anayo manguvu. HAKUNA MTU MUOGA KAMA MAGUFULI. Akivurunda anakuwa mdogo kama panadol na hapo ndio utasikia Mkapa yupo Ikulu. Yaani muoga hatari ni sawa na watanzania walivyo waoga yy kawagundua ndio maana anachezea akili za watanzania.
 
Litapoteza heshima yake kutumiwa na wanasiasa, watafutao kiki
 
Kama usipowapa vita watakuletea vita.... [emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Huoni wote mtaoneka vichaa iwapo kichaa anakuchokoza ukaanza kuzipiga nae wote mtaonekana vichaa
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna mshahara kuongezeka.
Mkuu umesomea wapi?!!....nimekukubali the Only way to bring down the tyrant ....i alute mkuu!!!
 
Kwasasa ni mwendo wa mtutu wa bunduki tu.
Na mbaya zaidi hawa ccm wanashindwa kuelewa kuwa kuna siku atawakorofisha hao jamaa na ndio mwisho wa utawala wake na ccm pia.
Wanaweza kushika hatamu hata 48 hours na kusema hakuna ccm na ikawa hivyo
 
Nchi hii bwana watu wameamua kukaa kimya hawmshauri Rais kabisa masikini Rais wetu kila kinacho mjia kichwani ndio anafanya.

Wakati mwingine kama mtu hujui issues zinavyokwenda nchini ni heri ubaki kimya kabisa..vinginevyo utaonekana ni wa ajabu kwa comments zisizo na hoja kama comment hii hapa...it is im;possible kwamba rais awe hashauriwi...ni uzushi wa kiwango cha hali juu kabisa kuandika kuwa eti "kila kinacho mjia kichwani ndio anafanya"...ni kauli ambayo haivumiliki, ni kauli ya kumdhalilisha Rais...ukiitwa ili ujieleze vitu vitatu tu vinavyomjia kichwani rais ndio anafanya utaweza? Unachukulia nafasi ya rais kama ya diwani...na hufahamu kuwa 'rais' ni taasisi...umejawa na mihemuko katika comments...mihemuko inakugubika uwezo wako wa kutoa hoja hata usiweze kutoa comments za maana...
 
Hili jeshi sio kama ile JWTZ ya enzi zile za harakati za ukombozi, hili naona kama limekuwa completely tamed and compromised. Lina-reflect taswira halisi ya watanzania walivyo, yaani heshima ya woga.

Nakumbuka kipindi cha nyuma nyuma hapo rais wa Marekani Bw. Donald Trump aliwaambia majenerali wa jeshi lake kuwa wamuue Bashar Al Asaad tu ili mchezo uishe lkn walimkatalia katu.


Walisema japo kumuua ni kazi ndogo lkn walisema wanaangalia "Long term implications of the act" ambazo walidai hazitakuwa rafiki kwa Marekani.

Kuwa amiri jeshi mkuu hakuifanyi jeshi kutii amri yoyote hata kama sio muafaka kwa maslahi mapana ya mtu, watu wengine au hata sheria na ndio maana hata hao wanajeshi wanaweza wakashitakiwa kwa makosa wanayofanya hata wakiwa kwenye maeneo ya vita.
 
Povu la nini Mkuu
Wakati mwingine kama mtu hujui issues zinavyokwenda nchini ni heri ubaki kimya kabisa..vinginevyo utaonekana ni wa ajabu kwa comments zisizo na hoja kama comment hii hapa...it is im;possible kwamba rais awe hashauriwi...ni uzushi wa kiwango cha hali juu kabisa kuandika kuwa eti "kila kinacho mjia kichwani ndio anafanya"...ni kauli ambayo haivumiliki, ni kauli ya kumdhalilisha Rais...ukiitwa ili ujieleze vitu vitatu tu vinavyomjia kichwani rais ndio anafanya utaweza? Unachukulia nafasi ya rais kama ya diwani...na hufahamu kuwa 'rais' ni taasisi...umejawa na mihemuko katika comments...mihemuko inakugubika uwezo wako wa kutoa hoja hata usiweze kutoa comments za maana...
 
Lakini lazima tujue kwamba yeye ni. Amiri jeshi. Mkuu kwa hiyo yeye ni sehemu ya jeshi ana mamlaka zote za kulitumia jeshi ingawa inaonekana ni kitu kigeni kidogo
 
Back
Top Bottom