Military Politics: Is Magufuli in danger?

Kama tunavyojua Jeshi ni kitu muhimu sana katika nchi yoyote ile duniani
Jeshi hulipa kiburi nchi yoyote kama linatunzwa vizuri na kutumika katika mambo yanayohusu sanaa ya vita

Siku zote kazi za jeshi katika nchi zinajulikana na likitoka nje ya nchi pia kazi zake zinajulikana

Je likiwa ndani ya nchi kazi yake ni nini?
Moja kati ya kazi kubwa za Jwtz likiwa ndani ya nchi ni kulinda mipaka yake na kusaidia mambo ya dharura kama mafuriko katika nchi, meli kuzama Yaani kazi zao pia ni kuhusu mambo ya uokozi katika nchi kwa ujumla wake

Katika nchi yetu tumeshuhudia kile kinachoitwa ni kulifanya Jwtz lisikae bila kazi.
Yaani kulitumia katika mambo mbalimbali ya kijamii!!!
Hilo silipingi lakini tuangalie ni mambo gani hayo ya kijamii katika kukitumia jeshi letu pendwa ili tusije kuliingiza kwenye tamaa yoyote ile

Pia kuna juhudi za maksudi kuliingiza jeshi letu kwenye mambo mbalimbali ikiwemo siasa,na pesa,
Siku wakielewa chochote kuhusu pesa ndani ya nchi hii basi tuandike maumivu kwa sababu wana uwezo wa kufanya chochote na hakuna wa kuwaambia kitu

Nimemsikia sijui ni gavana wa benki kuu akisema waliamua kulitumia Jwtz katika kupambana na utakatishaji wa hela ndani ya nchi, sio jambo baya ila ubaya ulipokuja ni kulitumia Jwtz katika kazi hiyo.

Tunaweza kufikiri tunafanya vizuri lakini Tamaa ameumbiwa binadamu na Tamaa hiyo ni bora akawa nayo mwingine lakini sio Jwtz

Nchi ambazo wanajeshi wamepindua nchi na kushika wao madaraka inaonyesha wanajeshi walikomba pesa zote na kujilipa bila kuangalia pesa hizo zilikuwa na matumizi gani katika nchi

Ni tahadhari tu tusilitumie sana jeshi katika mambo ya siasa au kuwaonyesha pesa maana siku isiyo na jina yaja

Nawasilisha
 
Mungu hachelewi
IMG-20181121-WA0003.jpeg
 
This is a dictatorial regime, use of Jeshi is inevitable. Na huu ni mwanzo, it is a matter of time, Jeshi wil be in full control!
 
Hakuna Mapinduzi yoyote ya Kijeshi yaliyotokea Dunia hii tangia Binadamu aanze kusihi Duniani ambayo hayakusaidiwa na nguvu za nje nchi, hivyo Jeshi litumiwe au lisitumiwe kama Mataifa mkubwa ya nje hayana nia ya kuwa na Mapinduzi ya kijeshi TZ, na hayatatokea, mtasubiri sana mpaka Mbowe hata Wajukuu zake watazeeka, walishindwa Wachaga miaka ya 80' tena wakati wa ujamaa uliopingwa na USA walikuwa na backing ya baadhi ya Muzungu mje muweze leo hii huku mkiongozwa na Mangi Kimambi, wakati Muzungu hana maslahi yoyote yale ya maana hapa?
 
Nchi hii bwana watu wameamua kukaa kimya hawmshauri Rais kabisa masikini Rais wetu kila kinacho mjia kichwani ndio anafanya.
We wa wapi? Unaweza kumshauri mtu ambaye katangaza wazi wazi kuwa yeye huwa hashauriki?
 
Hakuna Mapinduzi yoyote ya Kijeshi yaliyotokea Dunia hii tangia Binadamu aanze kusihi Duniani ambayo hayakusaidiwa na nguvu za nje nchi, hivyo Jeshi litumiwe au lisitumiwe kama Mataifa mkubwa ya nje hayana nia ya kuwa na Mapinduzi ya kijeshi TZ, na hayatatokea, mtasubiri sana mpaka Mbowe hata Wajukuu zake watazeeka, walishindwa Wachaga miaka ya 80' tena wakati wa ujamaa uliopingwa na USA walikuwa na backing ya baadhi ya Muzungu mje muweze leo hii huku mkiongozwa na Mangi Kimambi, wakati Muzungu hana maslahi yoyote yale ya maana hapa?
Huo ndo mwisho wako wa kufikiri. Mambo mapya yanatokea kwa sababu kuna watu wanakuwa na fikra mpya sio za kukopi na kupesti kama za kwako.
 
Asiwageuze wanajeshi wetu vibarua wakutumwa kushughulikia hata issue zisizo na maslahi ya taifa
Nitajie suala moja tu ambalo Jeshi letu limetumika katika suala ambalo halina maslahi ya taifa, mpaka sasa.
 
Swala la matumizi ya wanajeshi kwenye operesheni kule Arusha lilishatolewa maelezo, watu mnalazimisha tu tujadili vitu visivyokuwa na mantiki.
 
Back
Top Bottom