tunaitaji majibu ya kina,maana haiwezekani nchi ni moja ila kila siku ni milipuko huko visiwani,hawa watu wanapitisha wapi hizi silahaa ama vilipuzi?mtu anashuka bandarini dar anaingia navyo mpaka visiwani,IGP na AMIRI JESHI MKUU JK tunaitaji majibu ya kina kama usalama umewashinda mtuambie mapema
Kikwete si alisema mjilinde baada ya bomu la Olasiti Arusha@
Sio rais pekeyake na iGP ndio wahusike na usalama wa nchi, hadi wewe unausika na usalama wa nchi yako umetoa taarifa ngapi za usalama wa nchi yako? Au lawama tuu ambazo hazina mashiko mmezoea?
tunaitaji majibu IGP MWEMA na waziri wa mambo ya ndani ya nchi CHIKAWE,
Waziri kivuli tunataka ili jambo ulivalie njuga sana tupate majibu na hadidu a rejea ziwepo.kuna matukio mengi sana yametokea zanzibar hakuna majibu
tunaitaji majibu igp mwema na waziri wa mambo ya ndani ya nchi chikawe,
waziri kivuli tunataka ili jambo ulivalie njuga sana tupate majibu na hadidu a rejea ziwepo.kuna matukio mengi sana yametokea zanzibar hakuna majibu
Sera mbaya za ccm. wameuza viwanda vijana hawana kazi ndio maana wanarubuniwa na washenzi al kaeda kirahisi
hakuna mripuko mmoja ulotokea izo ishu ni zauwongo tu
mm nipo town now
na hakuna ishu yoyote
kauli ya JK ilikuwa ni ya kichochezi sana na hanatakiwa apelekwe ICC akajibu mashitaka yake huko,uwezi hutubia wananchi ukasema acheni unyonge for what?tunataka majibu ya kina IGP Mangu na OTHUMAN RASHID mkuu wa TISS maana haya mambo hayawezi kumalizwa kwa mazoea
hadidu rejea za kumwagiwa tindikali kwa walimu wa kujitolea wa UK
Kupoteza maisha kwa mapadri,kumwagiwa tindikali shekhe
haiwezekani unguja isiyokuwa na wakazi zaidi ya laki 4 ikawa ina genge kubwa la wa halifu
cc Pombo
endelea kujidangaya - Targeted ni hotel za kitalii, Tindikali kwa wageni hasa wa kimarekani na uingeleza, kuchoma bar na magesti - hayo yote yanatekelezwa na vibaka siyo!! kadanganye wengine siyo hapa JF.Wacha ujinga ww Zanzibar hakuna udini.. waislam wameishi na wakristo kw miaka mingi sana bila ya kubughudhiwa.. lamcngi tafuteni chanzo cha hayo sio kupalilia chuki.. km hamuwezi kuishi Zanzibar ondokeni nyote musitafute sababu.. paka wee..!
We upo sawa?
Je ya Arusha tumalize kwa mazoeya au umesahau kama kuliripuliwa kwa mabomu mara 2 moja ktk Mkutano wa CDM na lingine ktk Ufunguzi wa kanisa na balozi wa vatican alikuwepo na shekh kumwagiwa tindikali?
Weka picha nikuonewe unanionaje
Weka picha nikuone
Shikamoounione wewe usiyejielewa embu peleka huko
Shikamoo