Milipuko yatikisa Zanzibar

Milipuko yatikisa Zanzibar

Hizo Cinema zenu zimetuchosha. Kwanza tunaomba matokeo ya Maauji ya Padre Evaristus Mushi wa Kanisa la Parokia ya Minara Mirefu, sio Mnatuzuga. Kama bomu limelipuliwa kanisani haya tuambiaeni wamekufa Wakirsto wangapi?. Acheni chokochoko zenu za kipumbavu, badilikeni, zama za Nyerere Ndio zimekishwa. Sasa ni nguvu za hoja na kichwa.

Don't seek easy road to success.
 
Huu mwelekeo tuliochukua Watanzania tutakuja kulia wote siku si nyingi yaani siku hizi haupiti mwaka mabomu risasi si bara si visiwani.

Tusipojirekebisha tutalia nasema tena tutalia wote.
 
Nasema mkiwamaliza mtawageukia Wanguji halafu WaSuna. Ndipo mtowee na waNgazije na mshushie na ....
 
tunaitaji majibu ya kina,maana haiwezekani nchi ni moja ila kila siku ni milipuko huko visiwani,hawa watu wanapitisha wapi hizi silahaa ama vilipuzi?mtu anashuka bandarini dar anaingia navyo mpaka visiwani,IGP na AMIRI JESHI MKUU JK tunaitaji majibu ya kina kama usalama umewashinda mtuambie mapema

Sio rais pekeyake na iGP ndio wahusike na usalama wa nchi, hadi wewe unausika na usalama wa nchi yako umetoa taarifa ngapi za usalama wa nchi yako? Au lawama tuu ambazo hazina mashiko mmezoea?
 
Sio rais pekeyake na iGP ndio wahusike na usalama wa nchi, hadi wewe unausika na usalama wa nchi yako umetoa taarifa ngapi za usalama wa nchi yako? Au lawama tuu ambazo hazina mashiko mmezoea?

toa taarifa uone kama mhalifu hajaambiwa ! Kuna jamaa alipeleka polisi taarifa ya tukio la uhalifu akaishia kuambiwa AACHE UNOKO !
 
tunaitaji majibu IGP MWEMA na waziri wa mambo ya ndani ya nchi CHIKAWE,
Waziri kivuli tunataka ili jambo ulivalie njuga sana tupate majibu na hadidu a rejea ziwepo.kuna matukio mengi sana yametokea zanzibar hakuna majibu

IGP MWEMA!!!!! Unaota nini kwani IGP ni MWEMA??!
 
tunaitaji majibu igp mwema na waziri wa mambo ya ndani ya nchi chikawe,
waziri kivuli tunataka ili jambo ulivalie njuga sana tupate majibu na hadidu a rejea ziwepo.kuna matukio mengi sana yametokea zanzibar hakuna majibu

mwema?????
 
Sera mbaya za ccm. wameuza viwanda vijana hawana kazi ndio maana wanarubuniwa na washenzi al kaeda kirahisi

Hiki kichwa au matope,mwenye akili timamu hasa maada hii anaweza kuchangia hivyo?
Huko Marekani kwenye ajira hakuna,wewe nani akuletee ajira wakati hujitumi,hata kije chama gani hakuna kitakachokuletea pesa kama huna msingi wako mwenye wa kujituma.
We unakalia Siasa wenzie wanaingiza siku,ujinga mtupu,nyie ndio wale mnaotumiwa kwenye Maandamano wakati wahusika hata ndugu yao mmoja haendi kuandamana.

Fanyakazi ujitume,usitegemee kuajiriwa,huo ni ubwete
 
kauli ya JK ilikuwa ni ya kichochezi sana na hanatakiwa apelekwe ICC akajibu mashitaka yake huko,uwezi hutubia wananchi ukasema acheni unyonge for what?tunataka majibu ya kina IGP Mangu na OTHUMAN RASHID mkuu wa TISS maana haya mambo hayawezi kumalizwa kwa mazoea
hadidu rejea za kumwagiwa tindikali kwa walimu wa kujitolea wa UK
Kupoteza maisha kwa mapadri,kumwagiwa tindikali shekhe
haiwezekani unguja isiyokuwa na wakazi zaidi ya laki 4 ikawa ina genge kubwa la wa halifu
cc Pombo

Je ya Arusha tumalize kwa mazoeya au umesahau kama kuliripuliwa kwa mabomu mara 2 moja ktk Mkutano wa CDM na lingine ktk Ufunguzi wa kanisa na balozi wa vatican alikuwepo na shekh kumwagiwa tindikali?
 
Wacha ujinga ww Zanzibar hakuna udini.. waislam wameishi na wakristo kw miaka mingi sana bila ya kubughudhiwa.. lamcngi tafuteni chanzo cha hayo sio kupalilia chuki.. km hamuwezi kuishi Zanzibar ondokeni nyote musitafute sababu.. paka wee..!
endelea kujidangaya - Targeted ni hotel za kitalii, Tindikali kwa wageni hasa wa kimarekani na uingeleza, kuchoma bar na magesti - hayo yote yanatekelezwa na vibaka siyo!! kadanganye wengine siyo hapa JF.
 
Je ya Arusha tumalize kwa mazoeya au umesahau kama kuliripuliwa kwa mabomu mara 2 moja ktk Mkutano wa CDM na lingine ktk Ufunguzi wa kanisa na balozi wa vatican alikuwepo na shekh kumwagiwa tindikali?

Vile vile wangeuliza VIPI MAJIBU YA UCHUNGUZI WA CIA KUHUSU MAUJI YA PADRI HUKO ZNZ, Mbona hayawekwi hadhwarani?
Je kuna siri gani?
 
Back
Top Bottom