Imetokea, sio kwenye Hoteli ni mgahawa ( restuaurant) inaitwa Mercury Restaurant ipo karibu na lango la kuingia bandarini, ni mgahawa wa kitalii ( ni restaurant and bar), mripuko mwengine ni pembezoni kabisa mwa Anglican church.
Hili sio tatizo la kichama hata kidogo, ni tatizo la kidini na ubaguzi ulioka hapa Zanzibar, utalii unachangia asilimia kubwa katika pato la taifa na unatoa ajira kwa wazanzibari, ila kuna wachache "wanafiki" wanawadanganya watu,kua utalii unaharibu dini fulani, na kwa kua wengi wa watalii hao ni watu wa imani tofauti na dini fulani, na ndio maana unaona wange wanaokua targeted ni watalii na watu wenye opposite faith na hao waripuaji.
Ni akili finyu na kupelekeshwa na watu wa mataifa ya kiarabu, dini haitaki hayo hata kidogo.