Milipuko yatikisa Zanzibar

Milipuko yatikisa Zanzibar

hapana kaka ccm habar zao hizo.

.
Kwa tukio lile la Arusha kuhusisha sisiem chini ya mastermind Mwigulu, hakuna namna unaweza kunifanya nisitilie shaka kwamba hata hili la Zanzibar ni wao.
.
 
itakuwa ni mazoezi ya kijeshi tu, mbona mimi naangalia TBC1 sasa hivi sijaona breaking news na TBC1 ndiyo tv ya umma, lazima kwa jambo kama hili wasingeachia vyombo vingine pekee ndiyo vitoe habari. ikiwa hivyo nitaamini kweli TBC1 sio ya umma.
 
itakuwa ni mazoezi ya kijeshi tu, mbona mimi naangalia TBC1 sasa hivi sijaona breaking news na TBC1 ndiyo tv ya umma, lazima kwa jambo kama hili wasingeachia vyombo vingine pekee ndiyo vitoe habari. ikiwa hivyo nitaamini kweli TBC1 sio ya umma.

Tena usirudie kutamka hadharani kama unatazama TBC maana Slaa alishatupiga marufuku na ole wako wakusikie... lazima tamko likukute wewe
 
NATABIRI

"
ZANZIBAR itakufa kabla ya CHADEMA na itapotea kwenye ramani ya dunia haraka kama kifo cha MACCM"

mwenye maskio na aliskie neno hili,
Kwa hiyo Chadema mnaomba Zanzibar ife?
 
Wacha ujinga ww Zanzibar hakuna udini.. waislam wameishi na wakristo kw miaka mingi sana bila ya kubughudhiwa.. lamcngi tafuteni chanzo cha hayo sio kupalilia chuki.. km hamuwezi kuishi Zanzibar ondokeni nyote musitafute sababu.. paka wee..!

Safi sana... waeleze hao wanafiki
 
Hiyo ni movie ambayo ime-target ku-influence majadiliano ndani ya bunge la katiba na hasa mambo ya muungano.

Tafakari utajua ni nini lengo.
 
Watu wachache ambao wamepewa madaraka na wananchi kuongoza dola, kwa kutojali kwao,aidha kwa kupuuzia, au kutokufuatilia mambo muhimu kama haya ya ulinzi na usalama wa Taifa wanaweza kututumbukiza katika machafuko makubwa.
Serikali ndio ya kulaumiwa. Na endapo Zanzibar itajitenga na Tz bara, basi haya mambo yatakuwa ndio maisha ya kila siku.
 
Inabidi Tanganyika irudi haraka sana,hawa ccm wasituletee uhuni.
 
nashawishika kuamini kuwa selikali ndo inayo husika na milipuko hii kwani hawajawahi kumkamata hata mtuhumiwa 1 wa milipuko
 
Tatizo si kupata majeruhi au vifo, milipuko inaogofya. Inatisha, inamfanya mtu kuishi kwa hofu na wasiwasi pia. Acha ujinga!
 
Dear Friends, before any innacurate information starts floating around: two bombs went off this afternoon at the entrance to the Anglican Church compound in Mkunazini.

The bombs were placed near the entrance on the street. There were no injuries to pedestrians and no damage to the property. We are most grateful that no one was hurt.

Rev. Jerry
Anglican Diocese of Zanzibar
 
mkuu, NI GESI IMELIPUKA KWA BAHATI MBAYA KARIBU NA KANISA, HAKUNA MTU YOYOTE ALIEJERUHIWA, ACHENI KUPOTOSHA WATU
We si ndo ulisema mapadre wanagombea sadaka...???!!! Na ndo wakaamua kulipuana...??!! We si ndo ulisema wanadaiana..??!! Na sasa unaandika gesi imelipuka.... Jitakari kisha jiweke kwenye kundi unalostahili
 
Back
Top Bottom