Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Wakiwanaliza waKri watawageuki wanguj halafu waSuna halafu watatowea wangazije na kushushia n...
Na ndio maana anti - Zanzibar wanafanya hivi ili kuitia doa Zanzibar na watu wake kwa mwamvuli wa uislamu. Tangu Wazanzibar waamke na kudai zanzibar yao ndipo matokeo haya yanafanyika na utaona media za upande wa pili wa muungano ukizidisha chumvi katika matokeo yanayotokea zanzibar kana kwamba Tanganyika watu hawamwagiwi tindikali, kupigwa risasi, milipuko ya mabomu na kadhalika.
Milipuko hii kama kweli ni mabomu basi wenye makosa ni serikali kutokuwa makini na matatizo hayo toka mwanzo.Sijaona kilichofanyika ili kuwapata wahalifu,na sijui wanaona furaha gani watanzania wakirumbana kwa mihemuko ya udini wakati huo ni uhalifu na auhusiani na dini yoyote.Sipendi na sitaki kuaminishwa kwamba ni usilamu bali huyo aliyeweka mabomu hayo ni mhalifu tu na wala si kuweka dini mahali penye uhalifu ambao unaweza kutolewa majibu sahihi na wakosaji wakaadhibiwa.Rai yangu kwa Wanzanzibar bila kujali dini zao inabidi wafanye doria wenyewe ili kuwakamata wahalifu hawa.Kwa kweli wanaudhi.
Imetokea, sio kwenye Hoteli ni mgahawa ( restuaurant) inaitwa Mercury Restaurant ipo karibu na lango la kuingia bandarini, ni mgahawa wa kitalii ( ni restaurant and bar), mripuko mwengine ni pembezoni kabisa mwa Anglican church.
Hili sio tatizo la kichama hata kidogo, ni tatizo la kidini na ubaguzi ulioka hapa Zanzibar, utalii unachangia asilimia kubwa katika pato la taifa na unatoa ajira kwa wazanzibari, ila kuna wachache "wanafiki" wanawadanganya watu,kua utalii unaharibu dini fulani, na kwa kua wengi wa watalii hao ni watu wa imani tofauti na dini fulani, na ndio maana unaona wange wanaokua targeted ni watalii na watu wenye opposite faith na hao waripuaji.
Ni akili finyu na kupelekeshwa na watu wa mataifa ya kiarabu, dini haitaki hayo hata kidogo.
Wskiwanaliza waKri watawageuki wanguj halsfu waSuna
...mkuu' ni wahuni tu, kama wale walio haribu, kuvunja na kuchoma Makanisa mbalimbali hapa Tanzania (hasa kama wale wa Mbagala, baada ya kukojolewa kitabu)
Nimeisikia live redioni sasa hivi Faruq Karim akiripoti kuwa imetokea milipuko kwanza hoteli ya Forodhani kisha muda mfupi tena kwenye lango la kanisa la anglikani mkunazini huko Zanzibar. Walioko huko watatujuza zaidi
Source: Radio one zilizotufikia
====
Hakuna Majeruhi
Chama chako kinataka tuendelee kuwa kumbatiaWatu wanataka kujitenga na wameonyesha dhahir kutuchukia, sasa sijui tunawang'ang'ania wa nini?
siyo matukio ya kufumbia macho hata kidogo!
Watu wanataka kujitenga na wameonyesha dhahir kutuchukia, sasa sijui tunawang'ang'ania wa nini?
tekbirrrrrrr
Swadakta ammi umenena maneno mazito sana
Nafikiri wengi wanapayuka bila kujua nini wanachonena bali wanasukumwa na fikra za udini na chuki dhidi ya Znz na waZnz.
Nafikiri wangekuwa makini wangejiuliza walikuja CIA kuchunguza kupigwa risasi na kuuwawa kwa Padre huko Znz, Wajiulize JE RIPOTI IPO WAPI MPAKA LEO? MBONA HAIWEKWI HADHWARANI WATU WAJUE.
Siku zote ASIYEJUA AENDAKO HAWEZI POTEA NJIA.
Tuwape pole majirani.
Embu rudi huko kwenu pemba mkafuge ngamia mtoke kabisa tumewachoka