Kumetokea Miripuko sehemu mbili tofauti hapa Zanzibar, sehemu moja ni katika Mercury Restaurant iliopo karibu na bandarini na mripuko mwengine ni karibu na Anglican church Zanzibar.
fuatilia ulete habari kamili. halafu inaitwa milipuko sio miripuko.
Kumetokea Miripuko sehemu mbili tofauti hapa Zanzibar, sehemu moja ni katika Mercury Restaurant iliopo karibu na bandarini na mripuko mwengine ni karibu na Anglican church Zanzibar.
Milipuko miwili imetokea huko Zanzibar mchana huu..moja ikiwa ni kanisa la Anglican Mkunanzini na mwingine kwenye hotel huko Forodhani..Polisi bado wanafanya uchunguzi.
source: Radio one
wakuu, TAARIFA IMETOLEWA HAKUNA MLIPUKO WOWOTE WA MABOMU ULIOTOKEA, KILICHOTOKEA NI MLIPUKO WA GESI KARIBU NA KANISA .ZE SREAD IZ KLOZED.!!!!!!!!!
Kilichotokea ni mlipuko wa gesi uliotokea kwenye mgahawa ulioko karibu sana na kanisa.
why milipuko makanisani tu na siyo misikitini?
Hawa Wanahabari huwa wanapenda uchonganishi sana..
Haiwezekani habari uitoe bila kufanya utafiti..
Haraka ya nini??
Nimeisikia live redioni sasa hivi Faruq Karim akiripoti kuwa imetokea milipuko kwanza hoteli ya Forodhani kisha muda mfupi tena kwenye lango la kanisa la anglikani mkunazini huko Zanzibar. Walioko huko watatujuza zaidi
Source: Radio one zilizotufikia
Acha kuleta siasa hata pasipo takiwa.Bavicha ni janga la taifa.
wahanga je? hali zao zikoje?
why milipuko makanisani tu na siyo misikitini?
Mlipuko umetokea kwenye nchi ya kigeni iitwayo zanzibar! Jamani mlioko dodoma waambieni wanaojadili katiba tunataka serikali 3!