Usoke Tabora,ila tuache masiara ccm ikikomaa na serikali 2 Znz patakua padogo!
Una data ya hayo unayoyasema..??? Au unaongozwa na hisia... Kama huna data usiseme usichokuwa na uhakika nacho bana...mkuu, forodhani hotel walikuwa wanadaiana wakalipuana
Kwaheri katiba mpya karibu mjadala wa Milipuko
Basi wapigwe tu...Afande hawa watu bila kuwang'ang'ania kitakuwa kituo kikuu cha magaidi. Bora hivi kuliko tukiwaachia.
tunaitaji majibu IGP MWEMA na waziri wa mambo ya ndani ya nchi CHIKAWE,
Waziri kivuli tunataka ili jambo ulivalie njuga sana tupate majibu na hadidu a rejea ziwepo.kuna matukio mengi sana yametokea zanzibar hakuna majibu
mkuu, forodhani hotel walikuwa wanadaiana wakalipuana
Acha kuleta siasa hata pasipo takiwa.Bavicha ni janga la taifa.Sera mbaya za ccm. wameuza viwanda vijana hawana kazi ndio maana wanarubuniwa na washenzi al kaeda kirahisi
mkuu,hivi leo mh. Rais ndo anahutubia bunge la katiba?ujumbe umefika dodoma na ni saa moja tu kabla ya rais kuhutubia bunge la katiba
Tatizo bavicha hamjui adui yenu. Acha kuharibu mada.wanataka matokeo ya o'level yaludiwe hakuna shule 1 na ndalichako hayupo
Ni wapi wameandika kuna mlipuko wa bomu?wakuu, TAARIFA IMETOLEWA HAKUNA MLIPUKO WOWOTE WA MABOMU ULIOTOKEA, KILICHOTOKEA NI MLIPUKO WA GESI KARIBU NA KANISA .ZE SREAD IZ KLOZED.!!!!!!!!!