Milipuko yatikisa Zanzibar

Milipuko yatikisa Zanzibar

nimetooka jana asubuhi ... nashangaa kumbe huku nje kunavichaa zaidi yangu kama wewe
Basi ninawasiwasi itakua hujapona, yani mpaka huku mtaani unaona kuna vichaa kama hao uliokuwa nao Milembe, anyways huenda ikawa ni vile umezoea mazingira ya Milembe, usijali you will soon be ok
 
Basi ninawasiwasi itakua hujapona, yani mpaka huku mtaani unaona kuna vichaa kama hao uliokuwa nao Milembe, anyways huenda ikawa ni vile umezoea mazingira ya Milembe, usijali you will soon be ok

we unahitajika milembe hivi wewe unampango gani sikuelewi?
 
am great sasa unataka kunilazimisha kuelewana na wewe ????? aaah wapi!!!!!!!!!!!!
Great ni Sifa ya Muumba pekeyake, huwezi kuwa great hata siku moja, vipi nikupitie badae tukanywe mbege?
 
Great ni Sifa ya Muumba pekeyake, huwezi kuwa great hata siku moja, vipi nikupitie badae tukanywe mbege?

sasa mimi ni mfano wa Mungu so am great..... unashilingi ngapi ya kuninunulia mbege
 
Acha kukufuru wewe, toka lini ukawa mfano wa Mungu?? Utakunywa na kusaza ila tu....

unakufuru wewe mie nipo sahihi kutokana na imani yngu kama yako inasema tofauti mshukuru pia huyo huyo muumba ...
 
unakufuru wewe mie nipo sahihi kutokana na imani yngu kama yako inasema tofauti mshukuru pia huyo huyo muumba ...
Ok, yote tisa kumi inakuaje sasa, wewe ni Marangu ama Kibosho, sitaki kuamini kama unatoka Kishimundu
 
Vile vile wangeuliza VIPI MAJIBU YA UCHUNGUZI WA CIA KUHUSU MAUJI YA PADRI HUKO ZNZ, Mbona hayawekwi hadhwarani?
Je kuna siri gani?

Haiwezekani kuitoa hadharani Ripot watafichua wauza unga wote
 
Back
Top Bottom