Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,232
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
Wewe hujui kitu kuhusu uislamu eti usije ukafa maskini hao waliokufa matajiri walizikwa na hayo magari/nyumba zao.
Sisi tufe hali yakuwa ni waislamu wewe unatuletea story za ajabu.