Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

Mama yeye anafanya kwa kuwaridhisha wasom uchwara walio soma kwa hela zetu alafu kutulipa wanatungaia na masharti pia yeye kama Rais yupo bize kuwajali watumish wa serikal badala ya kutuwekea miundo mbinu Sawa
Una hela gani wewe fukara!!
 
Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.

1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.

Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.

Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.

Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Unajua maana ya haya maelezo yako?
Maana yake ni hii:
Ukikatwa 9%
Ukaongezewa 6%
Maana yake mwaka mzima utakuwa umelipa 3%
Sawa sawa unajaza maji kwenye pakacha
 
Kwani kuna nini mbona hata uzi hauna maelezo ya kujitoshereza
 
Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.

1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.

Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.

Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.

Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Mkuu,
Unataka kulipa hilo deni milele sio!
 
Kiherehere chenu cha kulipa kimewaponza.
Sio kiherehere mkuu.
Mimi baada ya kumaliza chuo nikakausha kuanza kulipa loan board aisee kilichonikuta basi tu deni lilipanda karibu mara mbili ndani ya miaka michache tu.
Aisee nilijuta Sana kwa hiyo jamaa hapo angekuwa kwenye upande wa faida kama maamuzi yasingekuwa haya aliyochukua mama japo hata mimi ningemaliza kwenye salary slip nisingeenda wanikate value retention fee.
 
Sio kweli mkuu.. kuna watu wana gross chini ya hiyo na wanalimwa 15%..

Usahihi ni kuondoa vyote cause vinamnyonya mwananchi wa hali ya chini
Ni kweli naona bado giza....natamani kuuliza hivi,,, je kukomeshwa kwa Retention fee athari yake itaonekana kwenye salary slip ya mwezi wa 7 mwaka huu?
 
Tumia mfano huu utaelewa
a. Una deni la 10,000,000
b. Ukalipa 250,000 kwa miezi 12 yaan 3,000,000 kwa mwaka chukulia ndio makato toka mshahara wako
c.mwisho wa mwaka mkopo uliobaki Ni 10-3=7m.
Tunaingia kwenye retantion charges
6% Mara 7000,000=420,000
Deni jipya 7m +420,000 ambayo ni 7420,000
Kwa picha hiyo kama mshahara Ni chini ya 2.5m Hilo deni humalizi kwani linakua kila kipindi
Retention haikokotolewi kwenye salio la deni bali kwenye kiwango cha kwanza kukopa yaani hapo ungechukua asilimia sita ya milioni kumi ndio uongeze kwenye salio la deni baada ya makato,,ko hiyo riba sio reducing balance
 
Sio kiherehere mkuu.
Mimi baada ya kumaliza chuo nikakausha kuanza kulipa loan board aisee kilichonikuta basi tu deni lilipanda karibu mara mbili ndani ya miaka michache tu.
Aisee nilijuta Sana kwa hiyo jamaa hapo angekuwa kwenye upande wa faida kama maamuzi yasingekuwa haya aliyochukua mama japo hata mimi ningemaliza kwenye salary slip nisingeenda wanikate value retention fee.
na hii 6% waweka sheria waliiweka wakijua watawabana wanufaika kuanza kulipa mapema bila kujua watu hawacheleweshi rejesho kwa makusudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi ameniudhi si bora hicho ki retention wangekiacha afu wapunguze makato,kama waziri wa fedha hata punguza makato ya bodi sitamwelewa kabisa
Ngoja nikueleweshe kitu.
Mfano umekopa milioni 10.
Retention fee iwepo 6%
Makato yashuke yawe 8% na mfano mshahara wako TGS D 710,000/=
Makato yako yatakuwa 57280*12= 680000 kwa mwaka.
Deni litabaki milioni 9,320,000/=
Utapigwa 6% ya hiyo 559,000/=
Deni litarudi 9,879,000/=
Kwahiyo mwaka mzima umelipa 121,000/=
Deni halitaisha kamwe
Hata mimi ameniudhi si bora hicho ki retention wangekiacha afu wapunguze makato,kama waziri wa fedha hata punguza makato ya bodi sitamwelewa kabisa
 
Ndio maana wafanyakazi wa nchi hii wana lundo la madeni.

Yaani mtu anaona ni bora akatwe pesa kidogo kwenye mshahara wake ( ili abakiwe na pesa kubwa ) lakini adumu na deni kwa kulilipa hata miaka 40.

Akimaliza, anapiga mahesabu anaona amelipa jumla ya oesa kubwaaa anaanza kulialia kama zezeta na kuwaumu mkopeshaji, kumbe yeye mwenyewe ndio ZWAZWA.

Lipa deni kwa kukatwa pesa kubwa kwa muda mfupi ili liishe mapema uwe huru ingawa utaishi kwa shida ila ni muda mfupi.

Wafanyakazi wengi nchi hii hamna Akili.
Umeongea points karibia kote Mkuu.

But kila jambo au kitu kina faida na hasara yake.

Leo hii mie ukinikata deni kwa punguzo la asilimia let say 15% mpaka ishuke iwe 8% itanisaidia ile pesa inayobakia kuwa nyingi Ambayo nitajaribu kui manage(kama mkatwaji ana maono mazuri lakini) kwenye mambo mengine kama biashara na mwisho wa siku nikakuza KIPATO changu ambacho kinaweza kunifanya/kunisaidia kulipa deni lako kwa wepesi na haraka sana...bila mie kusononeka au kutaabika..

Ukweli usiopingika kwa sasa deni la Bodi kwa wadaiwa wengi limeishakua lipo MAWINGUNI yani ni zito mno kulilipa hata kama utakuwa na nia ya kulilipa haraka ni UTATESEKA TU!!
 
Back
Top Bottom