Tuvute subra, mama ana nia nzuri ni hii nchi, hawezi kurekebisha yote ya hovyo yaliyoletwa na marehemu kwa mda wa miezi miwili tu.Wajitahidi na ajira zipatikane, kupunguza kodi wakati hakuna ajira na huku unaendelea kukopesha wengine ni maigizo tu.
"sa unatoa retention fee halafu unaacha 15%? punguza from 15% to 6%"
Hapo labda unataka nielewaje mkuu!!?
Retention fee inaongezeka kila mara!!!
15% ni mara moja tu sasa hiv ina uafadhali!!?
Kiherehere chenu cha kulipa kimewaponza.Tulio.maliza mikopo.watulipe pesa yetu waliyo tuibia
Maana Yangu ni kwamba both retention fee na hyo 15% ni majanga kwa waTanzania wa hali ya chini hebu fikiri mtu analipwa 400k au 500k ,aje akatwe paye,mfuko wa afya,nssf, plus na hyo 15% ya HESLB unafikiri atabakiwa na kiasi gani??
km amendoa 6% ya retention it was right lakini kuna mzigo wa kukatwa tena 15%..
kifupi nilitaka ashughulikie vyote kwa pamoja.
Mkaruka soma pia uelewe nn nimelenga.
Ujuaji mwng afu akili haunasa unatoa retention fee halafu unaacha 15%? punguza from 15% to 6%
Mkuu huyu hajui Angelijua angemshukuru sana Mama.Hivi unajua retention fee ni nini au unaongea tu!!?
Hueleweki unamanisha Nini?Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.
1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.
Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.
Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.
Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Wengi wanaokatwa Loan board mishahara yao gross siyo chini ta Tsh 700,000.Maana Yangu ni kwamba both retention fee na hyo 15% ni majanga kwa waTanzania wa hali ya chini hebu fikiri mtu analipwa 400k au 500k ,aje akatwe paye,mfuko wa afya,nssf, plus na hyo 15% ya HESLB unafikiri atabakiwa na kiasi gani??
km amendoa 6% ya retention it was right lakini kuna mzigo wa kukatwa tena 15%..
kifupi nilitaka ashughulikie vyote kwa pamoja.
Mkaruka soma pia uelewe nn nimelenga.
[emoji16]Mama Samia miaka 9 tena. Sasa hivi tutalipa tulichokopa tu bodi ya mkopo. Hongera mama.
Nilidhan the blues hawana akili kumbe wana akili KUBWA SANA...[emoji23]Kwanini wameondoa? Mimi nilitaka iwepo na ingefaa kuongezwa hata 22%
Mkuu kweli huoni unafuu....hii 6%ilikuwa janga kuliko 15%.hii sasa deni litaisha kwa wakati..Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.
1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.
Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.
Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.
Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Na waliokatwa tayari watarudishiwa au?Mama Samia miaka 9 tena. Sasa hivi tutalipa tulichokopa tu bodi ya mkopo. Hongera mama.