WiziLengo lakuiweka 6% lilikuwa lipi kwa uelewa wako tu.
WiziLengo lakuiweka 6% lilikuwa lipi kwa uelewa wako tu.
Mkuu hata mimi ni mhanga wa hii kitu , juzi tu hapa nilipata barua kutoka utumishi eti nadaiwa deni na HESLB wakati nilimaliza 2019Sikuungi mkono hata, nimemaliza deni 2019 mwezi 4,nikafanya mawasiliano ili nipewe certificate nikajibiwa nadaiwa 4,800,000/= sikuwatafuta tena, nilikuwa nasubiria muda wowote ningeanza kukatwa tena
Wameshatuma katika halmashauri nyingi tayari, siku naenda masijala kuchukua barua yangu nilikuta iko juu kabisa na zilikuwa nyingi sanaHuoni unafuu wakati ulikuwa unakatw 15pec na unakuja kulipa value retention ya mpk asilimia 50 ya mkopo wako wa awali?
Kweli 15 perc sio haki lakini kuondoa value retention fee kapunguza makali kwa kiasi kikubwa Sana.
Kumbuka loan board walikuwa wanajiandaa kutuma taarifa za wanufaika waliomaliza mkopo bila kulipa value retention fee waajiri waanze kuwakata!!!
Bila shaka..!!Sasa mimi nauliza, hiyo asilimia 6 iliyokatwa itajumuishwa katika deni au ndo ishaliwa tunaanza hapa kuhesabu?
Mimi baada ya kupata barua ya kuanza kukatwa hiyo retention fee nilikondaaaaYaani mkuu nilikuwa nawaza sana kuhusu hili aisee mwache Samia aitwe Rais
Gross ya bachelor degree nibkiadi gani???Sio kweli mkuu.. kuna watu wana gross chini ya hiyo na wanalimwa 15%..
Usahihi ni kuondoa vyote cause vinamnyonya mwananchi wa hali ya chini
Hii ni mfano wa mikopo mibaya sana tuliowahi kuingia katika maisha yetu ukiachilia ile ya bay portNi hivi ndugu hii 6% ilikuwa inachelewa kuwa updated kwenye salaryslip, ulikuwa ukimaliza deni linaloonekana kwenye salaryslip unaletewa deni jingine la retention walati unalilipa ukimaliza linakuja retention nyingine yaani kumaliza loan ilikuwa bora kukopa benk ukawalipe ili udaiwe na bank
Hiyo ilikuwa ni riba out right, ambayo haikuwepo kwenye mkataba wa kukopeshanaWenyewe wanaita tozo ya kutunza thamani ya fedha
Diploma anapoenda kujiendeleza anakopa then akimaliza hawambadilishii muundo wa utumishi. Hivyo makato yakianza yanamkuta na mshahara ule ule wa Diploma aliokuwa nao.Gross ya bachelor degree nibkiadi gani???
Au siku hizi Diploma na cheti nao wanakopa???
Barua zilianza kutoka hahahaaMimi baada ya kupata barua ya kuanza kukatwa hiyo retention fee nilikondaaaa
Kalipe haraka mkuuHv rais anapotamka agizo linaanza kufanya kazi kwa muda gani? imebaki laki8 nataka niende kulipa j3
Mimi niliuliza HESLB wanaanza kukokotoa hiyo VRF tokea mwaka wa kwanza wa masomo. Kwa hiyo VRF haianzi baada ya kugraduate
Kama mwaka wa kwanza total loan ni 3m wanakamua asilimia 6 ya mwaka huo. Mwaka wa pili ukiongeza 3m retention inakuwa calculated kutoka kwenye 6
Kwahiyo ukikopa 10M, vrf itakuwa 600K, so utakuwa unaongezewa 600K hata kama deni litabaki 2
Mifumo ya nchi yetu iko slow. Sasa kama mtu tayari alikuwa na mshahara mkopo aliuomba wa nini??Diploma anapoenda kujiendeleza anakopa then akimaliza hawambadilishii muundo wa utumishi. Hivyo makato yakianza yanamkuta na mshahara ule ule wa Diploma aliokuwa nao.
Kuna jamaa nipo nae ofisini alichukuwa mkopo na kwenda kumalizana na HESLB, wenzie tuliamua liwalo na liwe sasa jamaa anajuta manake bank wao hawajui kuwa pesa alienda kuwapa HESLBMkuu hata mimi ni mhanga wa hii kitu , juzi tu hapa nilipata barua kutoka utumishi eti nadaiwa deni na HESLB wakati nilimaliza 2019
HahahaaKuna jamaa nipo nae ofisini alichukuwa mkopo na kwenda kumalizana na HESLB, wenzie tuliamua liwalo na liwe sasa jamaa anajuta manake bank wao hawajui kuwa pesa alienda kuwapa HESLB
Yap Mkuu kiuharisia hiyo ni riba .lkn wao wanasema sio riba ni retention fee yaani ADA YA ONGEZEKO LA THAMANI YA PESA. wakimaanisha kuwa sh 10mil. Wanayokupa Leo haitokuwa na thamani sawa na pesa hiyohiyo sh 10mil.utakayowalipa baada ya miaka mitano mbeleni.
Mkuu hata mie nilishaanza konda kwani nilikuwa nawaza sana hii kitu, afisa utumishi alitoa link ya HESLB tuingie kuangalia status ya mkopo sikuthubutu kwani nilijua kama 2019 waliniambia nadaiwa 4,800,000 leo hii 2021 itakuwa inakaribia 5.5MMimi baada ya kupata barua ya kuanza kukatwa hiyo retention fee nilikondaaaa