Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

H
Tunataka kuona haya mabadiliko kwenye Salary Slip kuanzia mwezi huu.

Kumbafu sana HESLB
Hiyo huea haupo kwenye salary slip mkuu.
Huwa iko kwenye server za board hata ukimaliza kwenye salary slip bado inasoma kule.
 
Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.

1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.

Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.

Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.

Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Kama umefuatilia retention fees, wengine hiyo retention ni kubwa kuliko mkopo halisi. I support SSH 100%. Wananchi wanahitaji maendeleo vile vile serikali inahitaji fedha. NAONGEA UONGO NDUGU ZANGU?
 
Ni kweli naona bado giza....natamani kuuliza hivi,,, je kukomeshwa kwa Retention fee athari yake itaonekana kwenye salary slip ya mwezi wa 7 mwaka huu?
Hii huwa haipo kwenye salary slip mkuu.
Ukimaliza deni ukaenda board kupata Cheti ndio wanakupa invoice mpya ya VRF.
 
Sasa mimi nauliza, hiyo asilimia 6 iliyokatwa itajumuishwa katika deni au ndo ishaliwa tunaanza hapa kuhesabu?
Maamuzi hayo ni prospective sio retrospective kwa maana ya kwamba yanafanya kazi kwanzia sasa kusonga mbele, waliolipa hiyo kipind cha nyuma ndo basi tena
 
Ni kweli naona bado giza....natamani kuuliza hivi,,, je kukomeshwa kwa Retention fee athari yake itaonekana kwenye salary slip ya mwezi wa 7 mwaka huu?
Ni hivi ndugu hii 6% ilikuwa inachelewa kuwa updated kwenye salaryslip, ulikuwa ukimaliza deni linaloonekana kwenye salaryslip unaletewa deni jingine la retention walati unalilipa ukimaliza linakuja retention nyingine yaani kumaliza loan ilikuwa bora kukopa benk ukawalipe ili udaiwe na bank
 
Duh shukran sana, basi walau si haba kutondolea hili janga
 
Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.

1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.

Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.

Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.

Kwangu mimi sioni unafuu hapo..😫

😫😫😫😫😡😡😠😠
 
Ndio matokeo ya elimu yetu. Alafu tutegemee mtu kama huyu awe productive kweli?? Nimeumia sana.
Kupitia huu uzi nimegundua Watz wengi ni vilaza

Imagine mtu anaomba retention ibaki 6% lakini makato yapungue hadi asilimia 8%,.....deni litaisha lini sasa!
 
Hiyo bodi ilikuwa ni kuifutilia mbali maana walikuwa wanafanya ujangili wakiwa na utashi kamili....nafikiri CAG afanye ukaguzi wa kina hapo loan board...
 
Sasa hapo c ndio umeshauri nini ??? Ni bora waweke 6% na watoe rentetion fee.. Kama rentation fee afu unakatwa 6%.. Hapo utalipa maisha yako yote.. Na deni unakuta alipungui..
Mumeshauri iondolewe imeondolewa, sasa wengine hawako happy wanataka iwekwe retention fee iondolewe 15%.
 
Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.

1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.

Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.

Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.

Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Kwa ushauri huu utaoipa deni milele....utajikuta unalipa 2m kwa mwaka then deni linaongezeka 1.3m kila mwaka. Bora watoe 6% ya VRF
 
Retention haikokotolewi kwenye salio la deni bali kwenye kiwango cha kwanza kukopa yaani hapo ungechukua asilimia sita ya milioni kumi ndio uongeze kwenye salio la deni baada ya makato,,ko hiyo riba sio reducing balance
Kwahiyo ukikopa 10M, vrf itakuwa 600K, so utakuwa unaongezewa 600K hata kama deni litabaki 2M?
 
Ni kheri uonekane huna akili kuliko kujifanya una akili wakati akili zako zenyewe ni ndogo
mnaishia kumtukana mtu badala ya kuchambua alicholeta.

mbuzi nyinyi.
hivi mnajua makato stahimilivu yasingelalamikiwa na wadaiwa!!!

mama anajua kwamba ana kundi kubwa la nyumbu nyuma yake,anachotakiwa kufanya ni kucheza na maneno basi makofi na vigeregere kwake.
 
Kwahiyo ukikopa 10M, vrf itakuwa 600K, so utakuwa unaongezewa 600K hata kama deni litabaki 2M?
Mimi niliuliza HESLB wanaanza kukokotoa hiyo VRF tokea mwaka wa kwanza wa masomo. Kwa hiyo VRF haianzi baada ya kugraduate

Kama mwaka wa kwanza total loan ni 3m wanakamua asilimia 6 ya mwaka huo. Mwaka wa pili ukiongeza 3m retention inakuwa calculated kutoka kwenye 6m
 
Hv rais anapotamka agizo linaanza kufanya kazi kwa muda gani? imebaki laki8 nataka niende kulipa j3
 
Back
Top Bottom