Serikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.
1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.
Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.
Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.
Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Ndio. Itapungua au deni kuisha kabisaNaomba nieleweshe kuhusu hii retention fee, kwa mtu ambaye analipa let's say nimebakiwa na 3mils kumaliza deni, je kuna amount itapungua kutoka hapo?
ShukraniNdio. Itapungua au deni kuisha kabisa
Hivi unajua retention fee ni nini au unaongea tu!!?
Tuko pamoja bora mda wa kulipa ungeongezekaSerikali haija shauriwa vizuri kwenye hili.
1. Retention fee inaongeza muda wa kulipa.
2. 15% inakaza ukali wa maisha.
Hii maana yale kwenye makato hakuna unafuu, bali muda wa kulipa deni ndio utapungua.
Ni heri wangeacha 6% lakini wapunguze loan fee kutoka 15 to 9% au even lower.
Kwangu mimi sioni unafuu hapo..
Mama yeye anafanya kwa kuwaridhisha wasom uchwara walio soma kwa hela zetu alafu kutulipa wanatungaia na masharti pia yeye kama Rais yupo bize kuwajali watumish wa serikal badala ya kutuwekea miundo mbinu Sawa
Waifute na wapunguze makatoSasa watumishi wenyewe wameomba na kulialia weeee, 6% itoke
Imeondolewa, inaonekana haisadii chochote.
Sasa walitaka nini??!
Ilikuwa inafabo nikopo kinomahii asilimia ulikuwa upigaji wa wawazi
Ndio maana wafanyakazi wa nchi hii wana lundo la madeni.sa unatoa retention fee halafu unaacha 15%? punguza from 15% to 6%
Hivyo ndivyo mlivyoomba na kusema kwenye risala??Waifute na wapunguze makato
Mbona sisi malimbikizo tunayoidai serikali hayana Hiyo tozo ya kutunza thamani ya fedha? By the way walitekeleze hilo isije ikawa kaongea halafu wakaanza longolongo kwenye utekelezajiWenyewe wanaita tozo ya kutunza thamani ya fedha
Kwa hili nahaidi kuwa chawa wa mama samia