Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

dar kuna joto, mbu huo usingizi usingizi utaupata wapi ndio maana wanashinda vibarazani wanaomba kukuche mapema
 
Wanaume wamikoani kutwa kucha kuponda dar huku mioyoni mwao wakitamani maisha ya dar, mfano kuna huyu jamaa wa chato na mkolomije hadi rangi imeng'aa tokea wafike town.
 
Karibu Dar mkuu, najua miguu yenu imepasuka pasuka huko kwenye visigino na wengi wenu mnafunza miguuni. Karibu uje uoge maji ya ruvu, uta takata kidogo.

asante mkuu nitakuja niwaone mkicheza zile singeli zenu mkiwa mmejibinuwa makalio "napenda mnavyochumaga mchicha tembele"
 
Kumegwa ni tabia tu.Nilikuwa mkoa mmoja kusini,basi akina Mama Huwa wanawahi asubuhi kuwahi bidhaa sokoni wengine kufuata pombe Za kuuza,Sasa ile kumi Na Moja asubuhi anamuacha Mr ndani mwanamke ananenda kupewa cha asubuhi tena fasta fasta porini tu.Hii ya kumegwa ipo TZ Nzima
dar kumezidi we unarudi saa 6 usiku unamkuta mke wako yuko vibarazani na wahuni eti wanapiga story ataacha kumegwa
 
Sam hau ni kweli tunawahi kulala, lakini kijijini (usukumani) kwetu mama yangu anaamka saa kumi usiku kisha kuanza safari ya miguu kwenda ufukwe wa ziwa Victoria -takribani km 14 kwenda na kurudi-kusubiri samaki wabichi toka kwa wavuvi.
Hoja ni kwamba ktk safari yake hiyo akiwa peke yake kuelekea ziwani, njiani humo Kuna vichaka na misitu ya hapa na pale. Lakini hana roho ya uoga kwamba atashambulia na fisiroad, simbaroad, chuiroad n.k, tofauti na mwanaume wa daa ambaye kila kitu kiko self contained au full tinted kuogopa watu wasiojulikana.
Anza kumfuatilia huyo mama utagundua Siri ya kutokuwa mwoga.Kuna watu wanafaidi hapo mzeee
 
Ukweli ni kwamba wanaume wa dar mnayatamani sana maisha yetu sisi wa mikoani sema ndio hivyo tena hamna namna.. Hakuna binadamu timam asiependa kupumzika sema hali tu inawabana huko na hamna la kufanya.. Nyie endeleeni kujifariji tu. Sisi huku ukitoka ofisini saa kumi, saa kumi na robo uko nyumbani.. saa nne mtu umeshamaliza shughuli zote unaingia kulala kwa furaha na amani wakati huo nyie ndio kwaanza mnapambana na foleni kwenda kuzitafuta stoo zenu😀.
Mtumishi wa Umma atapenda mkoani lakini kwa wajasiriamali waliojiajiri,watapenda kubanana Dar.By the Way Dar licha ya Ugumu wake kila mmoja anatamani Aje apaone tu,hata humu wamo
 
asante mkuu nitakuja niwaone mkicheza zile singeli zenu mkiwa mmejibinuwa makalio "napenda mnavyochumaga mchicha tembele"
Kibongo bongo, Dar ndiyo kila kitu, karibu sana mkuu, mkasi ni mkali na unakata kweli kweli lakini lazima uingiziwe vidole kwa nyuma, tunakusubiri kwa hamu, tumeanza kula korosho, supu ya pweza na nazi, karibu sana kila kitu tutakulipia.
 
Huku mikoani Chakula sawa na bure,nje ya nyumba tu kuna mboga mboga,mifugo,vitoweo,mashamba,maji ya kutosha,bei ya vitu vya muhimu ni sawa na bure. Mf. Mbeya,Rukwa Iringa ,hakuna fujo fujo,foleni za hovyo kwa nini mtu achelewe kulala wakati uhakika wa kuamka na kupata mahitaji yake muhimu upo.
Giza pia linachangia kulala mapema
 
Kibongo bongo, Dar ndiyo kila kitu, karibu sana mkuu, mkasi ni mkali na unakata kweli kweli lakini ******* vidole nyuma, tunakusubiri kwa hamu, tumeanza kula korosho, supu ya pweza na nazi, karibu sana kila kitu tutakulipia.

hahahah mkila hizo supu za pweza zilizochemshwa na viagra ndiyo mnapata nguvu ya kubinua makalio mkiwa mnacheza hizo singeli zenu?? "napenda mnavyochumaga mchicha tembele"
 
Hata mkuu wa Mkoa wa Dar ni tofauti Na wakuu wa mikoa mingine ,hilo halina ubishi
 
Back
Top Bottom