Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,421
Sasa mtaanzaje kulala mapema wakati mpo bize kushindana na dada zenu kupaka mawaja, mapouda, na kugombania mabwana pamoja na chipsi mayai
kiukweli hatuwezi kuchangamana na watoto wa kiume wa daslam tunaowalisha kwa nguvu na akili zetu, waacheni wakimbizane na panya road na akina skopioni.Ifikie mahali wanaume wa dar na wanaume wa mikoani mmalize tofauti zenu
kwakweli kwenye kuwalisha ni ukweli mtupu ilitakiwa washukuru kwa hilokiukweli hatuwezi kuchangamana na watoto wa kiume wa daslam tunaowalisha kwa nguvu na akili zetu, waacheni wakimbizane na panya road na akina skopioni.
Mwanaume 1 wa mkoani= 10 wanaume wa daslam
sisi wa mikoani hatuna mda wa kupambana na broilers wa daslamAu ka vipi wazichape, japo najua hapa wanaume wa dar watauwawa
Kweli we ni zuzu kuchelewa kulala nako ujanja?Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)
Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.
wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.
Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Kweli we ni zuzu kuchelewa kulala nako ujanja?
Kuna factor nyingi zampelekea mtu kuchelewa kulala 1- kiuchumi 2- environment hii khaswaaa kichumba kidooooogo una vitoto afu wahitaji papuchi nilazima uchelewe ukute watoto wamelala 3 - joooto wadhani usingizi ni rafiki na joto
OK mleta mada jipange upya pambana na hali yako
Sisi wa dar hatuna muda kupambana na wazee wa viagrasisi wa mikoani hatuna mda wa kupambana na broilers wa daslam
Acha uongo mnatumia akili ipi hiyo, nyie mnaotegemea mvua mna akili pia?kiukweli hatuwezi kuchangamana na watoto wa kiume wa daslam tunaowalisha kwa nguvu na akili zetu, waacheni wakimbizane na panya road na akina skopioni.
Mwanaume 1 wa mkoani= 10 wanaume wa daslam
Wanaoogopa wake zao ni wanaume wa kilimanjaroWacha tuwahi kulala maana usiku tuna kazi za kuwashulikia wake nyie mnachelewa sabab mnawaogopa wake
we broiler, unajua hata mihogo inapandwa kwa vipimo gani?Acha uongo mnatumia akili ipi hiyo, nyie mnaotegemea mvua mna akili pia?
We viagra,mmeanza dharau ee tu taacha kuja kutoa semina huko porini mfe njaawe broiler, unajua hata mihogo inapandwa kwa vipimo gani?
Hawa machokoraa ni ndugu zako walikua wanataka kutimiza ndoto zao za kuja jiji la marahadar wamejaa machokoraa wanalala stend za mabasi........
na vyuma vinaendelea kukaza
Leo nimesikia taarifa ya habari eti nyie watu wa sumbawanga mnalalamika kupigwa na wake zenu?mnatuabisha sana.Kweli we ni zuzu kuchelewa kulala nako ujanja?
Kuna factor nyingi zampelekea mtu kuchelewa kulala 1- kiuchumi 2- environment hii khaswaaa kichumba kidooooogo una vitoto afu wahitaji papuchi nilazima uchelewe ukute watoto wamelala 3 - joooto wadhani usingizi ni rafiki na joto
OK mleta mada jipange upya pambana na hali yako
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)
Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.
wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.
Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Naomba tu unikumbushe kipindi cha panya road nani alikua incharge kabla ya sirro then tusaidie anatoka mkoa ganiWatu wa dar walikuwaga wanalala saa kumi na moja jion kisa wanaogopa vitoto vya panya road, had pale mwanaume wa mkoan kamanda siro akishilikiana na mkolomije walipoamua kuvisaka na kuvitia mbalon
Wanaume wa dar muwe mnavaa magaun tu maana ni waoga sana kama wa kike
Mama yangu anamiaka 63, nguvu bado anazo, ujasiri bado anao....... Lakini si nguvu za kuchepuka, bali nguvu za kutafuta pesa ya kununulia kibaba cha unga.Anza kumfuatilia huyo mama utagundua Siri ya kutokuwa mwoga.Kuna watu wanafaidi hapo mzeee
Aliyekuwepo kabla ya Sirro si alikua mwanaume wa hapo dar na panya road si walimshinda kabisaa mpk kidume wa Musoma alipoletwa mjini hapo.Naomba tu unikumbushe kipindi cha panya road nani alikua incharge kabla ya sirro then tusaidie anatoka mkoa gani