Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

hivi Dar so mmojawapo wa mikoa ya Tanzania?
unaposema mkoani Dar siyo mkoani
 
Nasikia mnajengewa barabara za juu ili saa moja muwe mmelala maana mnafanya hivyo kulala saa 6 sababu hakuna barabara.
 
Kazi zinafungwa saa tsa mchana unafika hom saa 4 usiku umbali km. 10 tu
 
Sam hau ni kweli tunawahi kulala, lakini kijijini (usukumani) kwetu mama yangu anaamka saa kumi usiku kisha kuanza safari ya miguu kwenda ufukwe wa ziwa Victoria -takribani km 14 kwenda na kurudi-kusubiri samaki wabichi toka kwa wavuvi.
Hoja ni kwamba ktk safari yake hiyo akiwa peke yake kuelekea ziwani, njiani humo Kuna vichaka na misitu ya hapa na pale. Lakini hana roho ya uoga kwamba atashambulia na fisiroad, simbaroad, chuiroad n.k, tofauti na mwanaume wa daa ambaye kila kitu kiko self contained au full tinted kuogopa watu wasiojulikana.
 
Bora mwanaume wa mkoani anatoka zake shamba anapumzika kisha anakula msosi, anapata walau kamuda na wanae na mkewe kisha analala na kuwahi kuamka kwenda tena shambani

Wanaume wa Dar sasa ndo shida, anatoka kazini saa 11 direct Bar, anakunywa mipombe mpaka saa 9 za usiku akirudi home kufika saa 10, analala kwenye sofa dakika 20 anashtuka anaoga anaanza safari kwenda kurudia ratiba ya jana..

Hapo mke hajamwona wala watoto. Msosi aliotengewa jana usiku unaishia kumwagwa asubuhi.

Wanaume wa Dar acheni hizo tabia.
 
Watu wa dar walikuwaga wanalala saa kumi na moja jion kisa wanaogopa vitoto vya panya road, had pale mwanaume wa mkoan kamanda siro akishilikiana na mkolomije walipoamua kuvisaka na kuvitia mbalon

Wanaume wa dar muwe mnavaa magaun tu maana ni waoga sana kama wa kike
Haaaa asante sana kama sirro
 
Ukweli ni kwamba wanaume wa dar mnayatamani sana maisha yetu sisi wa mikoani sema ndio hivyo tena hamna namna.. Hakuna binadamu timam asiependa kupumzika sema hali tu inawabana huko na hamna la kufanya.. Nyie endeleeni kujifariji tu. Sisi huku ukitoka ofisini saa kumi, saa kumi na robo uko nyumbani.. saa nne mtu umeshamaliza shughuli zote unaingia kulala kwa furaha na amani wakati huo nyie ndio kwaanza mnapambana na foleni kwenda kuzitafuta stoo zenu😀.
 
hivi Dar so mmojawapo wa mikoa ya Tanzania?
unaposema mkoani Dar siyo mkoani
Hapana dar sio mkoani,mkoani ni sehemu ambayo watu wake wanatumia nguvu nyinyi badala ya akili kufanya shughuli zao, yaani kwa ufupi hawana tofauti ng'ombe,pia watu wa mikoani ni wachafu sana kuanzia kinywa hadi mwili mzima
 
Ukweli ni kwamba wanaume wa dar mnayatamani sana maisha yetu sisi wa mikoani sema ndio hivyo tena hamna namna.. Hakuna binadamu timam asiependa kupumzika sema hali tu inawabana huko na hamna la kufanya.. Nyie endeleeni kujifariji tu. Sisi huku ukitoka ofisini saa kumi, saa kumi na robo uko nyumbani.. saa nne mtu umeshamaliza shughuli zote unaingia kulala kwa furaha na amani wakati huo nyie ndio kwaanza mnapambana na foleni kwenda kuzitafuta stoo zenu😀.
Haupo serious wewe yaani kuna mtu anatamani akae porini?
 
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)

Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.

wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.

Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.

Yaani sababu ya watu wengi kuchelewa kulala Dar umeitoa, ambayo haipo mikoani; halafu unataka watu wengi wa mikoani nao walale muda wa watu wengi wa Dar wakati hakuna sababu ya kuwachelewesha hao wa mikoani. Hapa bado sijakuelewa.
 
ndio maana mnshindwa kuwaridhisha wademu zenu maana kuchelewa kulala pia inapunguza nguvu za kiume
 
Mtu ana nyumba ya tembe aliyojengewa na CCM hana hata umeme, unategemea akae gizani kupiga story asilale mapema?
No wonder wanaunga mkono bila kelele ile kauli mbiu ya Magufuli ya kufyatua watoto kwa sana. Mtu unapanda kitandani saa moja, mama yeyoo atapona kweli!?
 
Sababu ya watu wa mikoani kulala mapema ni kuwa na uhakika wa sehem nzuri ya kulala nyie wa dar walio wengi wanalala vibarazani hivyo hawawezi lala mapema mpaka mwenye duka afunge na wapita njia wapungue ili kupunguza usumbufu wa kurukwa miguu hivyo kukosa muda maalum wa kulala
 
Back
Top Bottom