Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Hakuna mtoto wa Dar hata mmoja anaetamba mjini wote wanatokea mikoani


Chibu Simba --kigoma

Bashite --- kolomije

Ali kiba. king music -- Kigoma

Magufuli --- Chato

TEAM B-13 ---Tanga
 
Kibongo bongo, Dar ndiyo kila kitu, karibu sana mkuu, mkasi ni mkali na unakata kweli kweli lakini lazima uingiziwa vidole kwa nyuma, tunakusubiri kwa hamu, tumeanza kula korosho, supu ya pweza na nazi, karibu sana kila kitu tutakulipia.
Daaaah
 
Hapana dar sio mkoani,mkoani ni sehemu ambayo watu wake wanatumia nguvu nyinyi badala ya akili kufanya shughuli zao, yaani kwa ufupi hawana tofauti ng'ombe,pia watu wa mikoani ni wachafu sana kuanzia kinywa hadi mwili mzima
Ukisema hivo unakosea kuna watu wako mikoani lakin wana kazi za maana kuliko wa dar pia sio wote wa dar wana maisha mazuri kama usemavyo wewe
 
Dar wanchelewa kulala kwa sababu ya ubize wa forex na D9 huku wakiunguza tu akaunti
 
Hao wa dar wametoka mikoani tongotongo bado wanazo wanatukana ndugu zao wa mikoani, ushamba nao una level.
Unachosema mi nakuunga mkono kwa sababu asilimia nyingi wanaojiita wa dar hawajazaliwa dar ila pilika za kimaisha zimewapeleka dar,je aliyezaliwa dar na kufanya kazi nje ya dar na mwingine aliyezaliwa nje ya dar ila anafanya kazi dar nani mwanaume wa dar pia nan mshamba kama mnavyofikiri?
 
Exposure gn wakati mmeufyata kwa mkolomije fulani ambaye akikohoa wote joto linapanda
 
Kwaio watu wanaoishi dar ila hawana umeme kwao ulala sangapi
Sijui kwa kweli ila dar sehemu za starehe ni nying km bar, vibanda vya sinema n.k kwahiyo hata asipokuwa na umeme basi jirani yake upo ataenda kuangalia tv, kulala atalala muda umeenda sana. Lkn huku mikoani maeneo mengine umeme haujafika kbsa na hautegemewi utafika lini. Kula saa 1:30 au saa 2 kulala saa 3. Mkishamaliza kula ni kwenda kulala.
 
Nakubaliana nawe, nahisi ni karibia sehemu zote Duniani. Miji mikubwa watu kulala ni mbinde, shughuli nyingi, magari kutwa njiani, kazi za kufanya ni nyingi, kifupi kulala lawa swala binafsi..
Miji kama London, sidhani kama ule mji unalala, unapumzika tu kwa maduka kadhaa kufungwa saa nne au tano usiku, ila viwandani, barabarani, kula bata na mengineyo watu wanapiga kazi 24hrs, wanapokezana tu kwa shift, Dar inakwenda huo huko...
Ukijiona hutaki stress na labda kuongeza kidogo urefu wa maisha yako unashauriwa kwenda Mikoani, hakuna misururu ya magari, waamka nusu saa au lisaa kabla ya muda wa kazi, mboga na mazagazaga yake ni ya asili, sio ya mitaroni kama Dar!
Nyama na mboga zingine hazina misuli wala kuharibika sababu ya kusafirishwa, watoto hawakeshi barabarani wanarudi mapema kula na kupumzika, na hata kucheza, Mikoani raha..Watu wako calm, hawana stress, kufanya kazi huko mikoani au biashara lazima tukubali kuna raha na kumetulia..
 
Watu wa dar walikuwaga wanalala saa kumi na moja jion kisa wanaogopa vitoto vya panya road, had pale mwanaume wa mkoan kamanda siro akishilikiana na mkolomije walipoamua kuvisaka na kuvitia mbalon

Wanaume wa dar muwe mnavaa magaun tu maana ni waoga sana kama wa kike
Pumbaaaavu mkubwa ww
 
Back
Top Bottom