Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,421
Imepenya mzee babaMpaka sasa dar wanaongoza 3-0.
Imepenya mzee babaMpaka sasa dar wanaongoza 3-0.
Watu wanatoka rombo na kuishia mwakambako watajulia wapi mambo ya majiji, au wale watu wa call me jayndio tabia ya mji mikubwa duniani ilivyo
We mtumia viagra kaa kimya,mwanaume mpaka ujibust na midawa ndo ufanye kazi?Mi naona kabisa watu wa dar hawana sababu ya msingi kuchelewa kulala wakati wengi mnalala vituoni. Ila mlinishinda sana ile kushinda kwenye vigodoro karibia kila siku yani sasa wanaume wanavyo biringisha hayo matako kwenye visingeli yani aibu tupu hadi dada zao wanakaa pembeni kwa kufunikwa.. Walinishinda kiukweli vitu havivumiliki...
Muhawahi kulala kwani mnapakulala??
hahahahahWatu wanatoka rombo na kuishia mwakambako watajulia wapi mambo ya majiji, au wale watu wa call me jay
Nasmapesa unasema kwamba?? Ndo wanaume wenu wa dar wanavyo fanyaga?? Maana haya mauzooefu unayaelewa sana..We mtumia viagra kaa kimya,mwanaume mpaka ujibust na midawa ndo ufanye kazi?
Ndio muda mzuri kwa ukarabati wa dada zenu.Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)
Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.
wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.
Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Ifikie mahali wanaume wa dar na wanaume wa mikoani mmalize tofauti zenu
Ifikie mahali wanaume wa dar na wanaume wa mikoani mmalize tofauti zenu
Mwanamke wa mbelez😀Hahahahaha, wewe mwanamke wa wap mkuu?
umetoka lini jela?!!Watu wa dar walikuwaga wanalala saa kumi na moja jion kisa wanaogopa vitoto vya panya road, had pale mwanaume wa mkoan kamanda siro akishilikiana na mkolomije walipoamua kuvisaka na kuvitia mbalon
Wanaume wa dar muwe mnavaa magaun tu maana ni waoga sana kama wa kike
Umenichekesha sana jamaniIfikie mahali wanaume wa dar na wanaume wa mikoani mmalize tofauti zenu
Siyo siri nimekuelewa sana nadhani huenda kuna baadhi ya Vijana hawajui utani kati ya wanaume wa dar na mikoani huwa tunataniana tu ili Ku burn-time au kunogesha story tu siyo vinginevyo, asante kwa elimu uliyoitoa kwa mdauNaamini uliandika hivi ukiwa haupo kwenye hali ya kawaida
Mungu akusamehe bure.......
Nakukumbukusha tu kuwa ubishi wa vijana wa Dar na Mikoani haujafikia hatua hiyo.......ni malumbano tu kunogesha jukwaa na sio kwa chuki.....otherwise una jambo lako moyoni