Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,186
Mkuu hapo sioni kama kuilikuwa na haja ya kulitumia hilo neno la kwenye mabano.Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)
Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.
wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.
Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Anyway tunashukuru kwa kututambua kama walipakodi tuliotukuka.