Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,144
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)

Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.

wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.

Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
 
Watu wa dar walikuwaga wanalala saa kumi na moja jion kisa wanaogopa vitoto vya panya road, had pale mwanaume wa mkoan kamanda siro akishilikiana na mkolomije walipoamua kuvisaka na kuvitia mbalon

Wanaume wa dar muwe mnavaa magaun tu maana ni waoga sana kama wa kike
 
nkajua saizi upo na li Ben 5 kumbe upo nyuma ya keyboard mkuu hongera sana
 
Watu wa dar walikuwaga wanalala saa kumi na moja jion kisa wanaogopa vitoto vya panya road, had pale mwanaume wa mkoan kamanda siro akishilikiana na mkolomije walipoamua kuvisaka na kuvitia mbalon

Wanaume wa dar muwe mnavaa magaun tu maana ni waoga sana kama wa kike

Dah kweli nimeamini maneno aliyonambia dada yako

"Nina likaka langu huko mbinga vijijini lishamba kweli"

Kumbe ni wewe
 
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)

Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.

wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.

Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.

Na ndio wanaume rijali wenye nguvu za kiume sio wewe mkuu,

Swissme
 
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)

Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.

wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.

Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Si mikoa yote, kuna mikoa mingine iko tofaut na unavyodhani.
 
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)

Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.

wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.

Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Kulala mapema ndio kuwa mnyonge? Unapata kitu gani cha ziada ukilala saa 7 usiku tofauti na yule anayelala saa 3 usiku?
 
Back
Top Bottom