Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Huku mikoani Chakula sawa na bure,nje ya nyumba tu kuna mboga mboga,mifugo,vitoweo,mashamba,maji ya kutosha,bei ya vitu vya muhimu ni sawa na bure. Mf. Mbeya,Rukwa Iringa ,hakuna fujo fujo,foleni za hovyo kwa nini mtu achelewe kulala wakati uhakika wa kuamka na kupata mahitaji yake muhimu upo.
 
wa mikoani wamechachamaa kweli; ukweli unauma.
 
Ndiyo maana misiba mingi hutokea Dar kwenda mikoani. Using uzi ni muhimu kwa afya.
 
Huku mikoani Chakula sawa na bure,nje ya nyumba tu kuna mboga mboga,mifugo,vitoweo,mashamba,maji ya kutosha,bei ya vitu vya muhimu ni sawa na bure. Mf. Mbeya,Rukwa Iringa ,hakuna fujo fujo,foleni za hovyo kwa nini mtu achelewe kulala wakati uhakika wa kuamka na kupata mahitaji yake muhimu upo.
Ukipata nje watu wakiwacwanakulabwanakukarubisha. Dar wachoyo mtu anaweza kulia chooni mradi usimuombe
 
Watu wa dar walikuwaga wanalala saa kumi na moja jion kisa wanaogopa vitoto vya panya road, had pale mwanaume wa mkoan kamanda siro akishilikiana na mkolomije walipoamua kuvisaka na kuvitia mbalon

Wanaume wa dar muwe mnavaa magaun tu maana ni waoga sana kama wa kike
Panya ndo nani#kima wew unatukana viongoz wako pambaf
 
supu ya pweza iliyojazwa viagra.


stroke anachelewa kulala kwasababu anasubiri shemeji yake pamoja na dada yake waende chumban kulala wampishe na yeye alale hapo sebuleni.
Eti wakishalala na yeye anatoka nje aka chukua Demu. Anamlaza kwenye kigodoro tena anakwambia asikohoe. Saa kumi anamtoa kabla hana za kuosha garivya shemeji.
 
Eti wakishalala na yeye anatoka nje aka chukua Demi. Anamlaza kwenye kigodoro tena anakwambia asikohoe. Saa kumi anamtoa kabla hana za kuosha garivya shemeji.

hahaha mateso yote hayo angeenda tu kupanga hata chumba cha buku tano huko uwanja wa fisi.
 
Watu wa mikoani wamekosa maarifa, hii inasababishwa na kukosa lishe bora toka utototoni, makuzi yenu yalikua ya shida sana, hamkupata muda wa kucheza na kuruhusu akili zikuwe vizuri, kwa wale waliobahatika kwenda shule, wanaenda shule na njaaa na kushida kutwa nzima na njaa, wakirudi nyumbani badala ya kusoma ni kazi mpaka usiku. Mmepitwa na vitu vingi sana katika makuzi yenu, exposure yenu ni ndogo sana, najua siyo makosa yenu ila hamuwezi kuja hapa kuzungumza mambo ya watu wa Dar wakati balozi wenu namba 1 anawaaibisha vibaya sana na watanzania wamekwisha mchoka. Mtoto wa darasa la kwanza wa Dar es Salaam ana akili kuliko watu wazima 10 wa mikoani.
 
Watu wa mikoani wamekosa maarifa, hii inasababishwa na kukosa lishe bora toka utototoni, makuzi yenu yalikua ya shida sana, hamkupata muda wa kucheza na kuruhusu akili zikuwe vizuri, kwa wale waliobahatika kwenda shule, wanaenda shule na njaaa na kushida kutwa nzima na njaa, wakirudi nyumbani badala ya kusoma ni kazi mpaka usiku. Mmepitwa na vitu vingi sana katika makuzi yenu, exposure yenu ni ndogo sana, najua siyo makosa yenu ila hamuwezi kuja hapa kuzungumza mambo ya watu wa Dar wakati balozi wenu namba 1 anawaaibisha vibaya sana na watanzania wamekwisha mchoka.

mimi nimepitwa tu na kunywa supu ya pweza iliyotiwa viagra pamoja na utumbo wa kuku ambao ndiyo chakula chenu kikuu hapo Dar.
 
mimi nimepitwa tu na kunywa supu ya pweza iliyotiwa viagra pamoja na utumbo wa kuku ambao ndiyo chakula chenu kikuu hapo Dar.
Karibu Dar mkuu, najua miguu yenu imepasuka pasuka huko kwenye visigino na wengi wenu mnafunza miguuni. Karibu uje uoge maji ya ruvu, uta takata kidogo.
 
Mikoani hakuna swaga...watu huko ndo wapo hoi kabisa....mizunguko ya pesa hakuna kabisa...majumbastarehe yanahesabika na baadhi ya mikoa baridi Kali na matukio ya kutisha usiku....ukiondoa lodges na walinzi nadhani ndo night shift pekee ndo maana wanalala saa moja...,
 
kulala sana kunaondoa uchovu na kufanya ubongo ufanye kazi sawa sawa, na pia unapata muda mzuri wa kuinjoy na mke wako, sasa wewe unalala saa 6 usiku, saa 11 asubuhi umeshaamka unawahi foleni.....ndio maana wake zenu wanaishia kumegwa na wahuni mchana
Kumegwa ni tabia tu.Nilikuwa mkoa mmoja kusini,basi akina Mama Huwa wanawahi asubuhi kuwahi bidhaa sokoni wengine kufuata pombe Za kuuza,Sasa ile kumi Na Moja asubuhi anamuacha Mr ndani mwanamke ananenda kupewa cha asubuhi tena fasta fasta porini tu.Hii ya kumegwa ipo TZ Nzima
 
Back
Top Bottom