Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

Dar watu wengi hujikuta wanachelewa kulala kwa kuwangoja wahindi wafunge maduka ili wao walale kwenye vibaraza vya maduka!!
 
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)

Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.

wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.

Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Huwa mnawasubiri wavuvi warudi na pweza ndiyo mlale.Hivi wanaume wa Dar mmeacha kufuga kucha,kuzipaka rangi na kuota jua?
 
Wanaume wamikoani kutwa kucha kuponda dar huku mioyoni mwao wakitamani maisha ya dar, mfano kuna huyu jamaa wa chato na mkolomije hadi rangi imeng'aa tokea wafike town.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)

Lakini watu wengi huanza kulala ifikapo saa mbili tu usiku.

wakati kwa Dar unakuta muda wa saa mbili bado hata mtu hajafika nyumbani kutokea makazini.

Huko mikoani mtaendelea kuitwa wanyonge kama mkiendelea na tabia hii ya kushindana na vitoweo kupata usingizi.
Am sor kwa kauli yangu kua wewe ni Mburula.kinachochelewesha watu wa Dar kulala ni miforeni ya magari na kundi kubwa la watu wasiyo na pa kulala.hao wasiyo na makazi ndo wanaoweza kufanya pia mama ntilie na hiace town zisilale.lakini usijidanganye kua hiyo ni sifa.binafsi nitakaa hapa Mwanza maisha yangu yote,nikiwasha gari sihangaiki sana na foreni barabarani,hata nikipanda daladala bado nawahi kufika kazini,nakula chakula siyo cha kuvizia vizia,sijakimbia nyumbani kwetu au nyumbani kwangu kama watu wa Dar.kwa sababu ya kua napaheshimu kwetu,ukitaka uje tukufunze maisha uone kama utarudi Dar tena zaidi ya kwenda kibiashara na kutoka,I think karibu %80 ya wakaazi wote wa Dar siyo wazaliwa ni wahamiaji na cha ajabu hukaa kujifia kuishi Dar bila sababu ya msingi.MBURULAZ
 
Back
Top Bottom