ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,910
- 15,300
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dodoma ilipaswa iwe kinara apo ifwatiwe na mdogo wake singida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dodoma ilipaswa iwe kinara apo ifwatiwe na mdogo wake singida
Dodoma by 2030 itatoka huko iliko
Sioni tofauti ya hali ya maisha ktk mikoa hiyo na mikoa kama Mbeya, Pwani, Mtwara, Lindi, Tanga, Shnyanga, Katavi, Rukws, Simiyu, n.kMikoa hiyo ni ifuatayo,
Kigoma,
Singida,
Tabora,
Dodoma,
Kagera.
Huo ndio ukweli wenyewe. Mkoa wa Kagera na Kigoma haina umasikini huo unaosemwa ukilinganisha na mikoa mingine. Mikoa hii inalima kahawa kama zao la biashara na wana chakula cha kutosha uje uilinganishe na mikoa kama Lindi, Mtwara, Pwani, Dodoma, Singida, Tabora, Mara na Shinyanga? Hizi tafiti zingine wanaozifanya hua hawaelewi kile wanachofanya.Sioni tofauti ya hali ya maisha ktk mikoa hiyo na mikoa kama Mbeya, Pwani, Mtwara, Lindi, Tanga, Shnyanga, Katavi, Rukws, Simiyu, n.k
Kuna ubabaishaji na ajenda ya Siri ktk taifiti hizi.Huo ndio ukweli wenyewe. Mkoa wa Kagera na Kigoma haina umasikini huo unaosemwa ukilinganisha na mikoa mingine. Mikoa hii inalima kahawa kama zao la biashara na wana chakula cha kutosha uje uilinganishe na mikoa kama Lindi, Mtwara, Pwani, Dodoma, Singida, Tabora, Mara na Shinyanga? Hizi tafiti zingine wanaozifanya hua hawaelewi kile wanachofanya.
Tafti hupingwa kwa tafti , na wewe leta tafti yakoKuna ubabaishaji na ajenda ya Siri ktk taifiti hizi.
Ni kweli tafiti hupingwa na tafiti. Vipi kuhusu "tafiti uchwara" nazo hupingwa na nini?Tafti hupingwa kwa tafti , na wewe leta tafti yako
Kigezo cha umaskini sio kujenga tu Bro!Sio kweli hakuna watu wanajenga kwao kama wahaya na wachaga,
Hupingwa kwa tafiti zenye mashikoNi kweli tafiti hupingwa na tafiti. Vipi kuhusu "tafiti uchwara" nazo hupingwa na nini?
Hebu post kule porini kwenu ibadakuliBado mshamba ndo kuna nn hapo[emoji23][emoji23][emoji23]nenda hata lushoto utaona hizo nyumba katikati hapo kitivo na watu wanakunywa mapombe ya kienyeji ...Nenda usawa wa nyuma ya chuo cha Mahakama (IJA)
kawaida sana yaani yaani hamna maajabu then punguza sana kujitetea
Wewe hutaki tujenge kwetu?Kwani unadhani wanavijiji wote Wana hayo majumba? Ni sawa tuu na Kagera Wasomi wamejenga Vijijini lakini wako Mjini Kwa hiyo hayo majumba yanaoza tuu hayaingizi pesa Wala hayafanyi chochote ndio maana biashara kubwa Rombo huko ni Chang'aa..
Mikoa kama Mbeya,Iringa,Njombe watu huko Vijijini Wana uhakika wa chakula hawasubilii kuomba Kwa watu wa Mjini kiasi kwamba Gini Coefficient sio kubwa kama huko kwenu na ndio maana tuko Juu Kwa stable income.
90% ya nyumba za vijijini ni bora hâta Wewe ukienda MDA huu utaziona nenda Hata Sasa hiviupo sahihi kabisa hizo nyumba ndo maama ana chagua pa kupiga picha [emoji23][emoji23][emoji23] sehemu nyingine pamechakaa
Kuna udumavuMbona alishakufaga kitambo Mkuu na kazikwa huko karagwe...na kwao kajenga mjengo mzr tu ambayo hata masaki unazitafuta kwa tochi....
Sasa yeye kama hafanyi kazi huko ataendaje tena?
Tatizo mnaongea kwa hisia sana juu ya wahaya...ni lini wahaya wakakusanya kodi? Ni kabila ndo linajenga miundombinu ? Kama ni kabila ni wap huko kabila likajenga barabara nk
By the way izo ni takwimu za serikali kuhusu mapato yao ya serikali na contribution ya population katika mapata hayo...GDP per capita...
Lakin kiuhalisia ukienda huko uhayani hakuna umaskimi kiasi hicho...wew uliwahi sikia watu wa kagera wanaomba chakula? Wanaomba muwasaidie mahitaji muhimu? Ushawahi sikia njaa kagera?
umepita mbeya, jombe au umekariri storiYaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Mbona Kilimanjaro inaongoza kwa kiribatumbo...Kuna udumavuView attachment 2577240
mara 90% mara 100% hueleweki tafuta pesa90% ya nyumba za vijijini ni bora hâta Wewe ukienda MDA huu utaziona nenda Hata Sasa hivi
Acha ujuha hapo syo kijijini