Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

Chai saa 9 alasiri na chakula kikuu ni saa 2 hapo tayari miwili
Sio aina ya maisha yao? Kama inadaiwa haiwafanyi kazi, basi hata mwili hautakuwa ukishikwa na njaa hasa ikiwa muda mwingi ni kulala na kukaa.
 
ndio ni vijiji vinazungumziwa, mijini hatuna shida nako
Dodoma mjini ni wilaya moja ya mkoa, Sasa kama sehemu kubwa ya mkoa hakuna maendeleo, inalazimisha mkoa mzima kuwa masikini.
 
Mkuu wenye majumba siyo wananchi wa Kagera unaposikia wanazungumzia umasikini ni wananchi wanaishi mkoa uliotajwa, je hayo majumba wamiliki wake ni wakazi wa Kagera? au wamiliki wake wanaishi Marekani?
Marekani ya wapi bana ilikuwa zamani,hao walishazeeka,wamestaafu au wamekufa,ila bro kumbuka kuna kitu kinaitwa remintes
 
Kwaaaakweeeriiiiiiiiiiiiiiiiiii hiii ripotiiiiiiiiiiiiii ni fwekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaa , infwacht yaani Bukoba tunakuwa wa kwanza kwa umasichiniiiii eeeehhhhhh hapana jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haiwezekani na mapurofesa wooote wa havard na masachuset wariojaa kure kwenye mikahawa then mtyu anakuja na kaaaakipeperushiii kanaitwa ripoti ,kanatudhalilisha. Kwanza watuambie ERimu za hao watafwitiii STUPID kabisa BHukobaaa tuko juu No matter what
Kinacho ondoa umasikini katika jamii sio elimu bali aridhi mkoa wa kagera hauna aridhi ya kilimo cha biashara mfano wilaya ngara Biharamulo mleba misenye bukoba viniji wilaya yenye aridhi ya kilimo 1 tu Karagwe

Watu wengi ufahamu mdogo wasomi wengi sio kigezo cha kuondoa umasikini katika jamii hao wasomi wanapesa kiasi gani cha kuondoa umasikini mkoani humo
 
Mkuu,

Lindi siku hizi tumeamka Sana.

Tuna misimu ya mazao Kama Sita kwa mwaka inayotufanya tutoke kwenye umasikini wa kutupwa.

Tuna msimu wa mahindi,
Msimu wa kunde,
Msimu wa ufuta,
Msimu wa mbaazi,
Msimu wa korosho,
Na mwisho kabisa msimu wa maembe ambayo kuanzia mwezi wa kumi Hadi wa 12 tunalisha miji mikubwa Kama Dar na Sasa hivi Bahresa ananumua Sana. Si umewahi kusikia "haya ni maembe ya kusini?" Basi ndiyo sisi.

Pia kwa. Maeneo yenye maji ya kutosha tunalima Sana nyanya na vitunguu ambavyo tunalisha mtwara,masasi na Dar es salaam.

Alafu Kuna mgodi wa Namungo ambao upo Ruangwa,unawanufaisha wananchi na kuongeza mzunguko wa hela maana Kuna wageni wengi Sana Sasa hivi. Rungwa inafikika kwa barababrayya lami na Kuna mahoteli kadhaa ya ghorofa yanayoupendezesha mji.

2025 nikigombea ubunge nikapita ndiyo naenda kuibadilisha moja kwa moja Lindi.

Kwa hiyo Lindi haiwezi kuwa katika hiyo list ya Kigoma,Kagera na Tabora.
Imefafanua kisomi kabisa watu walio wengi wanadhani mkoa kuwa na wasomi wengi ni kigezo cha kufuta umasikini katika jamii kumbe sivyo mfano mkoa wa kagera hauna aridhi ya kilimo sehemu kubwa ya aridhi hiyo ni mwamba milima vichuguu Karagwe tu ndiko kwenye aridhi ya kirimo
 
Imefafanua kisomi kabisa watu walio wengi wanadhani mkoa kuwa na wasomi wengi ni kigezo cha kufuta umasikini katika jamii kumbe sivyo mfano mkoa wa kagera hauna aridhi ya kilimo sehemu kubwa ya aridhi hiyo ni mwamba milima vichuguu Karagwe tu ndiko kwenye aridhi ya kirimo
wengi bado sana wanafikiria elimu inatosha pekee
 
Mi hata kigoma nina wasiwasi maana katika safar yangu ya maisha waha ndio vijana wanafuatia wakinga kupambana. Sema hizo jamii kwao hawajengi coz ya uchawi lakin wako vizur
Waha wengi bado ni masikini wala usiwalinganishe na wakinga mkoa wa kugoma hauna mazao ya biashara kulinganisha na njombe na makete na makambako mkoa wa njombe
Unaongoza kwa kilimo cha viazi mviringo
Mbao
Mahindi
Chai
Ziwa nyasa kuna dagaa
Mbao
Maharagwe
Vitunguu
Nyanya
Kilimo cha biashara ndicho kinacho wafanya wananchi kuchangamka na kufanya maendeleo sio elimu inakuja baadae
 
Back
Top Bottom