Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

Ni kweli wananchi wa Tabora, Kigoma na Singida hawapendi kazi ngumu?
Kuna watu wachakarikaji kama waha, wanyaturu, wanyiramba na wanyamwezi?
Hawa watu wanaangushwa na ardhi isiyo na rutuba na ukama lakini wanalima sana na kuvuna kidogo.

Ni kweli muhaya hapendi kazi ngumu lakini hawafiki watu wa Pwani wapiga tarumbeta na umbea.
Nado najiuliza Pwani mbona watu hahe hohe kuliko bara lakini hawapo kwenye orodha?
Naongea kwa uzoefu...nimeishi Pwani miaka mingi kuliko mikoa mingine...hao jamaa hufanya kazi kwa kulazimishwa na migambo na wana mlo mkuu mmoja plus chai ya saa 9 alasiri nfio imetoka hivi

Ukiongelea mkoa wa pwani na dsm,sio mikoa tena ya wazaramo hiyo ni mikoa ya taifa yani kila jamii kwa sasa ipo mikoa hiyo ndio mana inaonekana ipo juu kiuchumi,pia kumbuka ndio mikoa inayoongoza kwa viwanda.
 
Ukiongelea mkoa wa pwani na dsm,sio mikoa tena ya wazaramo hiyo ni mikoa ya taifa yani kila jamii kwa sasa ipo mikoa hiyo ndio mana inaonekana ipo juu kiuchumi,pia kumbuka ndio mikoa inayoongoza kwa viwanda.
Japo niliongelea Pwani kama mkoa na sio ukanda au Dar
 
Tanzania Wajinga Ni Wengi Sana
By Godwin Mollel
20230403_195623.jpg
20230404_073306.jpg
20230404_073306.jpg
20230404_073306.jpg
20230404_073306.jpg
20230404_073306.jpg
20230404_073306.jpg
20230403_195623.jpg
20230404_073306.jpg
20230403_150739.jpg
20230404_073306.jpg
20230403_150739.jpg
20230403_195623.jpg
Dubai Ya Tanzania Ila JK Alituweza Wakati Anaondoka Alimwaga Maneno Halafu Huyo Mbio
20230403_151317.jpg
20230404_091258.jpg
 
Mi pia nashangaa ila kuhusu majumba,kule migombani kuna mahekalu hatari utasema uko masaki
Mkuu wenye majumba siyo wananchi wa Kagera unaposikia wanazungumzia umasikini ni wananchi wanaishi mkoa uliotajwa, je hayo majumba wamiliki wake ni wakazi wa Kagera? au wamiliki wake wanaishi Marekani?
 
Back
Top Bottom