scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
Kagera wilaya kama ngara,biharamulo na misenyi ni wilaya maskini sana
Kusoma Sana ni chanzo cha umaskini,, wenye hela wengi ni wenye elimu za kawaida na darasa la 7.Wasomi wengi wa Kagera hawarejei makwao kuendeleza jamii zaoo.
Kuongezeka kwa umasikini kumechangiwa na mabadiliko ya tabia nchii
Kwan Hilo badiliko la nchi limeanzia mwaka huu...hakuna namna mikoa hiyo ni masikini tu takwimu zishasoma.✓Wasomi wengi wa Kagera hawarejei makwao kuendeleza jamii zaoo.
Kuongezeka kwa umasikini kumechangiwa na mabadiliko ya tabia nchii
✓Kagera wilaya kama ngara,biharamulo na misenyi ni wilaya maskini sana
Usisahau senene 😂😂Na ndizi kede
Usisahau senene 😂😂
hamasa ifanyike hawa washenzi nao wawe wnaenda kula hii sikukuu ya wakatolik huko kwao kama Wa mangi wanavyofanyaMakamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
🤣🤣🤣Hivi bado zipo? Tukuyu zimekimbiaUsisahau senene 😂😂
Sijajua hata ila kuna mdau hapo juu kasema mabadiliko ya tabia nchi, labda senene zimekimbia napo🤣🤣🤣Hivi bado zipo? Tukuyu zimekimbia
Acha ujinga mbona hujaiweka dodoma.Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
wahaya wengi wanaishi maisha ya kuigiza!!!, alafu wahaya wengi sio wajasiria mali,wengi wao wanapenda kuajiriwa,,,,,sasa utawakuta wengi kwenye mashirika ya serikali kamaMakamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
tatizo la wahaya sio wajasiria mali,wanapenda sana kuajiriwa serikalini kama TRA n.k,pia wanapenda sana kuishi ULAYA,wengi wa wahaya waliofanikiwa wako ULAYA,,,,,,wanajiona wazungu ndio maana wakiongea kidogo wanaingiza kimombo!!!!,,,,sasa wanaobaki bukoba ni wale choka mbaya manake wengi kama hawapo bukoba basi wapo arusha ,kilimanjaro au dsm....sasa serikali inapofanya takwimu za hali ya maisha wanaenda kukutana na wahaya makombo,,,Kagera wilaya kama ngara,biharamulo na misenyi ni wilaya maskini sana
IShomire punguza munkari.Acha ujinga mbona hujaiweka dodoma.
List ni hii
1.kigoma
2.Dodoma
3.Singida
4.kagera
5.Tabora
Mkuu,Huwa siamini kuwa Kagera inapitwa na Pwani na Lindi
Unaweze jenga nyumba ya m 50,000 000 katikati ya watu masikini nyumba sio kigezo cha kuondoa umasikiniSio kweli hakuna watu wanajenga kwao kama wahaya na wachaga,
Katika siku ulizo andika ukweli ni leoHuwa siamini kuwa Kagera inapitwa na Pwani na Lindi
Mi hata kigoma nina wasiwasi maana katika safar yangu ya maisha waha ndio vijana wanafuatia wakinga kupambana. Sema hizo jamii kwao hawajengi coz ya uchawi lakin wako vizurKila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
Jibu lako la kisomi lakini mbona wandegereko wazalamo wakwele ni masikini wengi wao tena kuliko wakaazi wa kagera?Labda sababu hakuna viwanda,Pwani ina viwanda sana siku hizi