Mkuu niko njiani kama vipi waje watufunge wote..Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mnyika ana mambo ya kizamani sanaAkizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe
Keyboard warrior!Mkuu niko njiani kama vipi waje watufunge wote..
Safari hii itaruhusu..Corona hairuhusu misongamano bwashee!
Mbona mechi ya Simba sc na Utopolo watu nyomi hatukuona hilo zuioMida hii ya Covid 19??
Kuweni serious kidogo
Sawa sawaKeyboard warrior!
Lakini kupokea ndege airport huwa Covid regulations zinalegezwa kidogo au kusahaulika.Corona hairuhusu misongamano bwashee!
Lakini ninyi mshaungama uovu wenu wa kuwaaminisha wana nchi kwamba korona haipo Tanzania?Mnyika ana mambo ya kizamani sana
Mafuriko hayaachii mtuhumiwa
Hao ndio chadema waliopiga kelele corona ipo,leo KM anahimiza watu wakajazane mahakamani
Tatizo ni hilo tu.Mbona mechi ya Simba sc na Utopolo watu nyomi hatukuona hilo zuio
Mama anatumika vibayaKesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
RestrictionsLakini kupokea ndege airport huwa Covid registrations zinalegezwa kidogo au kusahaulika.
CrapLakini ninyi mshaungama uovu wenu wa kuwaaminisha wana nchi kwamba korona haipo Tanzania?
Chadema waliwaambia ipo!
Kwahiyo chadema wasikusanyike ila ccm ni ruksa kukusanyika?Tatizo ni hilo tu.
Wakati wa Magufuli CHADEMA hao hao walitaka Lockdown.
Sasa hivi wanalilia kukusanyika.
Foolish.
Mungu ibariki ChademaKesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.