trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 722
- 1,344
Huyu ananirudisha nilipotoka Mimi sina shida na mtu sikuzote humu na hakuna asiye jua ila huyo kaingia 18 zangu....mwambie nishapigwa life ban 2017 na 2019 nikapigwa tena ban tena kwa sababu za wapumbavu kama Hawa walioingia angle yangu..bila kufikiri kwa kina.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwahio kupigwa hio ban ndo unajiona nani mpka sasa