Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,027
- 4,238
Wewe punguani mpumbavu yoyote Yule lazima akishindwa kuwa specific ya kitu husika lazima atafute angle umetqfuta angle ya elimu umejigundua wewe ni kilaza.haya komaa na BAED kuna mwenzio ananiuzia mahindi dodoma na ana BAED kama yako mpuuz wewMkuu hawa watu ni washenzi sana, mkeka nimetuma humu kabla haijacheza hata team moja.
Baada ya kushinda na quote ule mkeka naanza kushambuliwa, mara nabet ki FALA na kuwa mimi ni WAKALA WA KANJI nataka KUTAPELI watu.
Ukitulia ukafanya fikra yakinifu utadundua hasa wa ni wajinga na wana dhiki kubwa kiuchumi (maskini).
Furaha yao ni kuona watu wote ni wenye kufail tu na wasiofanikiwa (Psychopaths).
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app