Raha ya betting ni hii
ABB4257
Yaani hapo unaweka Tsh 50/=
Ukiwin unapata 600k
Ukiliwa unaliwa only tsh 50
Tuendelee kubeti wanangu. Hakuna tunachopoteza. Ni kama kunywa bia tu

Pia naomba makampuni yasiyo na urasimu, yaani yale ambayo ukishinda bet hela inaingia moja kwa moja kwenye simu badala ya kwenda kwa wakala. Naijua kampuni moja ambayo ni sport pesa!
 
Over 1.5 (1-1, 2-0, 0-2 nakuendelea) Timu 14, Total Odds 121.18

Hili Tren Lifike Basi

IMG_0805.jpg

IMG_0806.jpg

IMG_0807.jpg
 
Pia naomba makampuni yasiyo na urasimu, yaani yale ambayo ukishinda bet hela inaingia moja kwa moja kwenye simu badala ya kwenda kwa wakala. Naijua kampuni moja ambayo ni sport pesa!
Kampuni zinazokiki humu ni batpawa, sportybet na 1xbet. Hiyo ya mwisho wanasema ni nzuri changamoto yake ni kuweka na kutoa ni kupitia mawakala kama huna accounts hata moja zinazoruhusiwa na kampuni kwa ajili ya kutoa na kuweka hela.

Betpawa ni user friendly japo haina options nyingi kwa baadhi ya mechi. Sportybet Iko vizuri kwa options. Kampuni yenye options nyingi huwa inachosha kwenye kusuka mikeka.

Karibu uinjoi vita baina ya Kanji na wawekezaji
 
Msaada, napata changamoto kwenye ku withdraw pesa from Helabet.. Sijajua ni mimi tuu au kila mtu..
Nenda kwenye menu fuata icon ya setting utaona withdraw

chagua mobile payment

- airtel money selcom
Ingiza kiasi
Andika Namba yako ya simu ianze na 255
 

Attachments

  • 20230910_124039.jpg
    20230910_124039.jpg
    29.7 KB · Views: 5
  • 20230910_124118.jpg
    20230910_124118.jpg
    22.4 KB · Views: 4
Msaada, napata changamoto kwenye ku withdraw pesa from Helabet.. Sijajua ni mimi tuu au kila mtu..
Mtaambiwa mara ngapi mtoke kwa hao matapeli hamsikii...!

Hela bet ni matapeli, na kimsingi hawana mtaji wa dhamana wa kuweka bond Ili kuruhusiwa kufanya miamala....

Ndio maana Unakuwa na uwezo wa kudeposit lakini huwezi kutoa, wanaendesha biashara kwa pesa yenu!...

Deposit zikiwa nyingi ndipo wanafikisha idadi ya fedha inayoruhusiwa kuweka bond Ili kuruhusu miamala ya kampuni hiyo iendelee kufanyika....

Ndio maana kutoa fedha kwao ni magumashi, ila wanaruhusu wewe kuweka.

Stuka hiyo ni kampuni ya kijanjajanja.... hama huko

Inaweza kukuchukua hata miezi miwili ama hata wiki, hela Yako itatoka... itategemea na deposits nyingi watakazopata kufikia kiwango stahiki cha wao kuruhusiwa kufanya miamala.

I hope umenielewa
 
Back
Top Bottom