Nililima mananasi bagamoyo pale kihangwa nilichopata siri yangu...wale waswahili wanauza nanas mpaka sh 200..niliweka 10m ardhin nikaambulia 4.2m...nikasema Tawilee...baada ya hapo ni stress tupu mpaka barabara ya vumbi tu navushwa na mtoto wa chekechea...mi leo nakufa na jackport ya sportpesa tuu na betpawa yenye 5.5Billion wacha niwaze vikubwa tuu
BCDTV8SSportybet wekeni mikeka hapa
Mpe Atalanta ana odds 2 mpe na wolves ana 2
Uhakika hizo leo
Mkuu hapo nimefuata instinct zangu
Kitakwimu na currently form game ya Man U inauwezekekano mkubwa wa GG
Game ya Simba kutokana na msimu huu wa nvua viwanja vimekua hovyo sana so uwezekano wa magoli machache ni mkubwa
Man u GG
Simba under 2.5
60%
Fellow Punters,
Salaams.
Msaada kwenye hili hapa chini. Kuna mkeka katika basket ulikuwa na option ya tofauti ya magoli isiwe point 22.
Naomba ufafanuzi hapo nlipoweka alama nyekundu.View attachment 2091236
101 Kwa 102 tofauti ni 1.Fellow Punters,
Salaams.
Msaada kwenye hili hapa chini. Kuna mkeka katika basket ulikuwa na option ya tofauti ya magoli isiwe point 22.
Naomba ufafanuzi hapo nlipoweka alama nyekundu.View attachment 2091236
Hiyo ni final score, itakuwa kuna kipindi mtu aliachwa kwa tofauti ya 22 au zaidi101 Kwa 102 tofauti ni 1.
So haijaongoza kwa tofauti ya goli 22.
by the way hio ni sportbet?
10kUnataka kuweka sh ngapi? Kabla sijakupa odds
Yan aya ndy yanankuta mkuuKubeti sometimes ni kama uchawi,unaweza kubeti game nane but game moja ikachafua na unaweza kubeti game mbili nako game moja ikachana mkeka.
But usikate tamaa,ipo cku utafanikiwa.Yan aya ndy yanankuta mkuu
Mimi nataka nizipe over 0.5 mkuuLeo mechi kubwa zote weka GG Afu stake 10000 lala uzingizi mzito utanishukuru
Mkuu acha tu ,imagine Norwich anapata goli tatu pekee yake ,na ndio nilimpa under 2.5 ,Tena pekee yake huu uchawi omba usikukuteTangu lini we fala ukawa na bahati.
Weka hapa huo mkeka acha porojo. Over vs Under option inayotoa sana ni Over. Game 24 ziwe under zitoe zote?? Weka hapa huo mkeka.Nina train la timu 24 lilishawahi kutiki kwa under ,Sasa unavosema hivo nabaki nakushangaa Lyon kashindwa over 1.5 , Norwich kaweza over 2.5 ......
This is betting ,hakuna mwenye uhakika ,kila mtu na Imani yake mkuu
Kiufupi hakuna option ya uhakika ...
Mapamabno yaendeleee ,....