Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,864
- 72,472
Best luck kwetunayaona
Mi ninayo miwili hadi sasa ule uliotuma juzi na huu niliotuma
Best luck kwetunayaona
Aiseee hakiachwi kitu, ngoja nifunge hesabu Kwa leoView attachment 992052
me nimetengeneza 16. sasa ombea tu itiki mill 50 zakoBest luck kwetu
Mi ninayo miwili hadi sasa ule uliotuma juzi na huu niliotuma
Mikeka 16 huwezi kumkosa yote asee😁me nimetengeneza 16. sasa ombea tu itiki mill 50 zako
but game ya mwisho imeahirishwa
ohhooo maombi tu mama. kuchanika ni rahisiii mnooo kuliko kutikiMikeka 16 huwezi kumkosa yote asee😁
Najiandaa tu kupokea mil zangu 😂
Mungu atasaidiaohhooo maombi tu mama. kuchanika ni rahisiii mnooo kuliko kutiki
inshaalaahMungu atasaidia
share slip mkuu tudeseWadau niwape tu siri...
Tuanze kujilipua katika cricket yule mwenye odd ndogo mpe tu win yaani anashinda mchana kweupe...
Rasmi nahamia huku pesa nje nje aisee
daah yaani ni balaa kama lote mkuu...na kuaxha ndo ngumu...tentententeMkuu umenikalia kooni aisee sina mkeka mkuu nina bahati mbaya nikiplace mkeka naangukia pua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unachunguza ww ...nzuri hiyoooooooWadau niwape tu siri...
Tuanze kujilipua katika cricket yule mwenye odd ndogo mpe tu win yaani anashinda mchana kweupe...
Rasmi nahamia huku pesa nje nje aisee
Nenda kwenye iyo browser unayo tumia request desktop version uta weza ipata picha nzimaMimi natumia simu
Nikiscreenshot inatoa nusu
Asante mkuuNenda kwenye iyo browser unayo tumia request desktop version uta weza ipata picha nzima
Sent using Jamii Forums mobile app