kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,420
- 1,981
Option zote zimetick mechi imeisha 3-0. Mliofuata MKAWITHDRAW.Baadaye SAA nane na nusu usiku kuna Pesa ya Bure;
*Ht Over 0.5
*Ft over 2.5
*2nd half over 0.5
*Home win Half time
*Home win Full time
95%
View attachment 992213
Nasubiri mzee babaNgoja tuanze na jumamosi tulivu...kuvuna mapesa
Wadau niwape tu siri...
Tuanze kujilipua katika cricket yule mwenye odd ndogo mpe tu win yaani anashinda mchana kweupe...
Rasmi nahamia huku pesa nje nje aisee
Tsh 1500Kuamisha kutoka 1xbet kwenda bank kiwango cha chini kabisa ni shingapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Si laki moja mkuu au wameshusha?Tsh 1500
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Ntalipuka nae ila karoho kanadunda WHU wako vizuriMpe mwanzo mwisho anashinda weka hata nyumba kama unayo
Match ngumu hiyo mkuu ipo jackpots