SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,315
- 4,518
765CF25 editedJITUBANDIA's Daily Tips
Choose your favourite's
C88A64
Sporty....
765CF25 editedJITUBANDIA's Daily Tips
Choose your favourite's
C88A64
Sporty....
Ilikuwa bado kiduuchu siyo mbaya shusha tena mzee1xbet odd 5 4Q6S8 ,ikawe heri
Edited35F58AD edited
B933137 editedSasa ni mwendo wa kujilipua tu liwalo lishakuwa nimejikuta nabonyeza bonyeza tu usifuate hii code kama una roho ya mlenda
sportybet
1AC9D89
Ipo hiyo mkuu.Umeelewa kinachojadiriwa lakini ? Hapa mada ni jackpot Sasa jackpot na doublechance wap na wap??
35F58AD edited
Hapana ni kwel betpowee ni lazma ushindi wa match zako ufuatano nishawah kusikia hii kitu sio Kwa huyu tu, yaan match ya kwanza ikitiki , inayofuata ikikosa bac ushachana inabidi kma kuchana ichane ya mwisho na sio katikati
Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.
Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)
MREJESHO
Niliwasiliana kwa email na 1xbet nikiambatanisha screenshot inayonesha;
1. Transaction history yenye muamala tajwa (nilizungushia)
2. Salio la akaunti ambalo halijaongezeka.
Kisha nikawapigia DUKA DIRECT, baada ya kuwatajia muamala wakaniambia ulikamilika na wakanitumia uthibitisho na wakasema niwasiliane na wallettec.
Nikawatumia email wallettec email niliyowatumia 1xbet, nikaongezea maelezo kwamba nimewasiliana na SELCOM DUKA DIRECT wamesema tatizo lipo kwenu, nikawapa ushahidi wa muamala wa DUKA DIRECT kukamilika.
Sasa hivi nacheki nakuta salio limejaa
Aiseee... hame hiyo kampuni.MREJESHO

Na ikawe kheri wacha turuke nayo8MUHY 1xbet 20 odds
Nimeshusha juu huko mzee,jana ilikua almostIlikuwa bado kiduuchu siyo mbaya shusha tena mzee
Mmmh hii ya double chance hapana kubet jackpot always ni normal yaan 1x2 , either useme nani ashinde au draw full stop. Ingekuwa na double chance wangepigwa Kila siku.Ipo hiyo mkuu.
Bp. kila badiliko unaongeza mia if not mistaken
Duuh!! Hii ni kali. Mbona wanajiharibia sana.BETPAWA HAWANA AKILI NA NI WEZIView attachment 2847138View attachment 2847139View attachment 2847140
duuh hatariii hogopaaaaBETPAWA HAWANA AKILI NA NI WEZIView attachment 2847138View attachment 2847139View attachment 2847140
Nasubiria watu wawatetee Wana system cjui display nzuriDuuh!! Hii ni kali. Mbona wanajiharibia sana.
Mi namshauri apeleke malalamiko bodi ya michezo simple tu unawaandikia email . Na viambata vyakoNasubiria watu wawatetee Wana system cjui display nzuri