Sema wakuu nyie ni wabaya sana, yaani mimi miaka nakomaa na meridianbet, li app la kizee na hamniiti kuja sportybet, kweli..!?
Inatakiwa utupongeze.
Tumekuwa tukifanya Ibada maalum kwa waliopotea,shida ni nguvu za Jini Kanji Meribehena ndio tulikuwa tunapambanazo,mpaka Kuja SPORTBETY ni mchango wetu wa maoimbi kwako.

Karibu SPORTBETY,ila tafadhali saana,mkeka ukichanika lazima utukane hata kidogo,ndio masharti ya Tambiko la Jini wetu huku kilingeni SPORTBETY.
Matusi yawe ya kiistarabu, Tuition utaipata leo sa tano na Nusu na inaweza kuwa mapema zaidi ktk ukurasa huu, inategemea lecturer Gani atakuwa on duty

Karibu sana
 
Umemkaribisha kibabe sana,
Mwanaume haambiwi pole ili anaoneshwa kuwa wajuba hawamtupi
 
Pamoja afisa, hapa kuna mikeka open kama 7 hivi, muda wa kushikiria roho na kutukana unawadia...
 
kwa mimi bonus nilkua napata
Wewe patia kuanzia mechi 13 bonus unapata, hakuna haja ya kuwa kwenye mpangilio na kama unahela weka double chances kwa mechi hata zote, na ikibidi unaweza kuchagua mechi timu , ifungwe, ishinde au isuluhu ni ww na hela yako tu, kumbuka ukifanya hivi dau linaongezeka.
 
Umeelewa kinachojadiriwa lakini ? Hapa mada ni jackpot Sasa jackpot na doublechance wap na wap??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…