Mi nilishaachaga hiyo kitu labda ije m 4+ ila tulaki au tu elfu kumi mmh viende tuDaah kmmme yaan uki cashout unaanza kuombea mkeka uchanike na hauchaniki
aaah Post pesa/fedha bhana unashare vipi vishiling vyamboga ambavyo havitumotivateKanaweza kakarudi kwa kanji.. acha nikatoe chaaapView attachment 2789559
Rebet utupe code za milion 8Kanjii lazima awe na stres hii wikiView attachment 2789532
AL ITTIFAQ NAE KAHARIBUTeam imetukosesha odds 400
Yah nimeona sio mbaya IlaAL ITTIFAQ NAE KAHARIBU
apost codeRebet utupe code za milion 8
Milion 8
Laki 8 na milioni 16
Asante sana asante sana
sahii IPO SIKU TU by Goodluck GzbNimefurahi sana hii weekend Imetupa moyo kwamba humu hamna uchawi Wala gundu ni kwamba tu kadri tunavyozidi kushindwa tunajifunza zaidi...ona hii weekend mikeka kibao imetiki watu wamekula hela Malaki mpaka mamilion ..Cha muhimu tusidharau hatujui siku Wala saa ndo kama hivyo watu wameshinda bila kutuma codes...sio mbaya kushinda humu Inawezekana so tusigive up
Kabisa, Well said Mkuu.Nimefurahi sana hii weekend Imetupa moyo kwamba humu hamna uchawi Wala gundu ni kwamba tu kadri tunavyozidi kushindwa tunajifunza zaidi...ona hii weekend mikeka kibao imetiki watu wamekula hela Malaki mpaka mamilion ..Cha muhimu tusidharau hatujui siku Wala saa ndo kama hivyo watu wameshinda bila kutuma codes...sio mbaya kushinda humu Inawezekana so tusigive up
Achana na hiyo timu wabovu kitambo sana. Mim nimeweka over 0.5 full time... ila kumpa directly vilareal nowdays ni risk sana. Though game haijaisha chochote kinaweza tokeaHivi Vilareal mnaielewa wakuu?
anapelekewa moto hatariHivi Vilareal mnaielewa wakuu?
Hii ni kama Ajax siku hiziHivi Vilareal mnaielewa wakuu?
Mkuu hii ni sportspesa app?Ahsante Malmo na Fenerbahce kwa kufanya nisijutie kuigomea hii ofa ya cashout last night.
18/18 direct win View attachment 2789583
Sio mbaya mkuu nimenunua na umeme nimewasha Sea Piano yangu nasikiliza mixing kali dj nasmiles kutoka JFaaah Post pesa/fedha bhana unashare vipi vishiling vyamboga ambavyo havitumotivate
pamoja mkuuSio mbaya mkuu nimenunua na umeme nimewasha Sea Piano yangu nasikiliza mixing kali dj nasmiles kutoka JF