dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,551
- 7,632
mkuu kumbuka kocha mpya wa everton ni dyche, mzee wa mabasi.....,Hapo kanji anakutoa kwenye reli tu, gem za mchana zina maajabu yake hasa kwa zile timu ndogo zenye ubora kwa wakati huo, mfano ingekuwa Newcastle, Brighton v Arsenal ungehofia lakin si kwa Everton, sema leo inaweza toa under 2.5 au goli nyingi 5+
burnley yake ilikuwaGa ngumu sana kufungika......