Big boi anaokoa majahazi sana niliuweka na mim ule mkeka mechi 3 zikazinguaDaaah ods 220 sio mchezo bigboi uishi miaka mingi Sana.
Mimi nilisema kubet kama Imani Tu, Imani yako ndiyo itakuponya Kuna siku humu tutashuhudia makubwa Sana.
Jana Kuna mkeka wa big niliweka Mia mbili chupuchupu nipate laki Saba timu tatu zilizingua mkeka wa both teams to score.
Hii mara ya mwisho najua inauma kuona mwenzako kawin wewe umekosa Ila tunakumbusha Tu tusiache kucopy code