Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

Kuna upuuzi mwingine unahitaji migambo wa kijiji kuudhibiti.
 
Wape hao wapinzani kodi sasa wapange bajeti na kutekeleza miradi,waache kukusoa tu.
Kazi kubwa ya upinzani ni kuonyesha makosa.
siku nyingine uwe unasoma vizuri kabla hujajibu
 
Wanaharakati wanashindwa kugeuka na kuwa wanasiasa. Kelele zao mitandaoni wanadhani ndio uhalisia wa mambo huko mikoani.
 
Wape hao wapinzani kodi sasa wapange bajeti na kutekeleza miradi,waache kukusoa tu.
Kazi kubwa ya upinzani ni kuonyesha makosa.
na huyo raisi wako anafaanya nini kama sio kuimba taarabu kabisa??
si heri ya wapinzani wanaimba singeli
 
wapinzani lazima wajue kukosoa tu hakumpi mtu sifa ya kuwa kiongozi bora!

vilevile uropokaji & kushinda unaponda wapinzani wako sio kazi ya kiongozi bora!

Pia kupiga wapinzani risasi hakumfanyi mtu kuwa kiongozi bora.
 
Shida ni kwamba wewe Nyani Ngabu haupo Tanzania kwa sasa (if im correct) ukiona hizo barabara basi unaona tayar kila kitu safi na kwamba wananchi wanakula barabara , wanavaaa hizo hizo barabara , wakulima wanapata bei nzuri za mazao yao kutoka kwa mteja huyo taa za sola na wanavyuo wameajiiriwa hapo barabarani.

Yaani hata kama watu wanaendelea kupotea kiajabu ajabu kama wakina Azory Gwanda lakini ilimradi tunapata barabara basi haina tabu ni mbele kwa mbele.
Unapokuja hapa na kusema hatuwez kumshinda Magufuli basi usiishie kwenye bara bara tu maana hakugombea uwaziri wa miundombinu na uchukuzi.
Mzee Nyani Ngabu Tanzania kwa sasa kwako wewe ni kitanda usichokilalia huwez jua kunguni wake.
Nilitaka nikutukane ila sijui kwa nini sijakutukana.
 
Oh yeah?

Nipo wapi sasa kama sipo Tanzania?
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Kwa nyongeza ona wenye akili Stiegler’s Gorge and modern international chicanery
 
Tundu Lissu anadhani urais ni kama asali,kila mtu anaweza kuiramba
 
Twende na Lissu 2020. Huyu kichaa katuharibia nchi yetu. Hatufaiiiii na hatumtakiiiii. Ni wakati wa kurejea Chato kwenda kulima mananasi.
 
Sasa kwa kauli mbovumbovu Lissu ana tofauti gani na Magufuli?

Lissu ni bonge la mropokaji, na hapo hana madaraka.

Akiwa nayo si ndo itakuwa balaa!!

Lissu sio "mropokaji", bali anaongea facts, ambazo anaowakosoa wameshindwa kuzijibu, wameishia kumpiga risasi.
 
Back
Top Bottom