Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

We Dada angu humu ni mkongwe,, lakini cha ajabu hunaga cha maana,, na ulivyo na nuksi haya maandiko yako kuna siku utakuja kuyakana AU utatamani yajifute, maana itakuwa kinyume chake,
ID yake ni kongwe mnoo hapa JF, natumai pia ni mtu mwenye umri mkubwa saana..ila ana mambo ya kitoto saana ukilinganisha na ID zingine kongwe hapa JF
 
Kwa kweli kuwa na madiaspora aina ya Nyani ngabu ni hasara na mkosi mkubwa kwa nchi yetu
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510

hii ndio hali halisi ya nchi. na wewe unatuletea eti imepiga maendeleo... unayajua maendeleo??
1545894765403.png


1545894804721.png


1545894852982.png

Hao ni wanafunzi ambao wanasoma katika wakati Mgumu na kwenye mazingira Magumu Je? Wizara ya Elimu inafikiriaje hili swala?. Ni jabu kwa nchi kama Tanzania ambayo ina umri zaidi ya Miaka 50 sasa wanafunzi kusomea chini ya miti na walimu kufundisha katika mazingira magumu kama hayo.
Je unategemea wanafunzi hao wataelewa? na Je? hii ndio Elimu Bora au Bora Elimu? kama kawaida palipo na wengi pana Majibu au Mjadala haya Wasomaji wenzangu karibuni tutafakari kwa pamoja na ikiwezekana tuchukue hatua........
1545894659687.png


1545894224020.png




1545894276783.png


1545894335891.png




1545894852982.png
 
hii ndio hali halisi ya nchi. na wewe unatuletea eti imepiga maendeleo... unayajua maendeleo??
View attachment 978587

View attachment 978592

View attachment 978593
Hao ni wanafunzi ambao wanasoma katika wakati Mgumu na kwenye mazingira Magumu Je? Wizara ya Elimu inafikiriaje hili swala?. Ni jabu kwa nchi kama Tanzania ambayo ina umri zaidi ya Miaka 50 sasa wanafunzi kusomea chini ya miti na walimu kufundisha katika mazingira magumu kama hayo.
Je unategemea wanafunzi hao wataelewa? na Je? hii ndio Elimu Bora au Bora Elimu? kama kawaida palipo na wengi pana Majibu au Mjadala haya Wasomaji wenzangu karibuni tutafakari kwa pamoja na ikiwezekana tuchukue hatua........
View attachment 978584


View attachment 978578



View attachment 978579

View attachment 978580



View attachment 978593

Picha za lini hizo?
 
Halafu hii tabia ya kufunga kamba miguu wenzio huku ukitaka ushindane nao ni mbaya sana ... Hata fastjet amekubwa na hili huruka, Kampuni binafsi iliyoleta mapinduzi makubwa ya kiushindani kwa usafiri wa Anga Nchini, wamekuwa na bei ya chini kuliko hata shirika la ndege za Serikali inayo tumia kodi kulipia ruzuku mashirika yake bado yanapata hasara. Serikali itaonea wivu vipi makampuni binafsi!!? Hivi PAYE na kodi nyingine mlizokuwa mnapata fastjet mtaifidiaje?

Uchumi na siasa ni taaluma mbili tofauti na kamwe haviwezi kuendeshwa na mtu mmoja kwa wakati mmoja!
 
Haya unayesema kwa kuwa unajua ipo dola iitakayofanikisha ushindi kwa namna yoyote Ile.
Weka uchaguzi huru,ruhusu mikutano ya siasa kwa vyama vyote leo uone jinsi gani mmechokwa.
siku nyingine uwe unasoma vizuri kabla hujajibu
 
Back
Top Bottom