Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

Ahsa
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Asante kwa kuonesha rangI zako. Kukurupuka na kuropoka ni tija na weledi wa kiwananzengo. Unakula ndege na reli zisizo na soko kwetu. Ukitaka kuruka ukuta agana na nyonga.
 
Imebidi nirudi juu kutizama jina upya tena. Sijaamini kama ni wewe. This is not of your level Bro. Nakujua katika uchambuzi wa kina na wenye kuleta maana halisi ya JF kuwa sehemu ya Great Thinkers.
Inawezekana kabisa kwamba Lissu hafai lakini kutokufaa kwa Lissu hakumfanyi "unayemtetea" kufaa.
 
Alipomuita Lowassa kuwa ni fisadi napo alikuwa anaongea facts?

Hiyo sio issue iliyompigisha risasi. Kwani kama ni hiyo basi angepigwa tokea utawala wa Kikwete ambao pande zote za CCM na CHADEMA zilishiriki kumuita na kuuaminisha Umma wa Watanzania kwamba Lowassa ni "fisadi." Je suala la ufisadi wa Lowassa ndio linakufanya huitimishe kwamba Lissu ni "mropokaji"?
 
TF you talking about?
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Instagram%20media%20-%20BrzN4BWAKuJ.jpeg
 
tatizo nyani anajiona anajua kila kitu.Anajiona yeye yuko perfect sana.mawazo yake mengi ni positive lakin ni mtaalam kulisha watu matangopori
ndio akili za wajinga zinavyowaza karbu
nani mwenye mihemko kati ya boss wako na lissu. mihemko ni kuongea bila fact bali kwa sifa. sasa tuambie nani mpenda sifa kati ya magu na Lissu. yaan rais mzima anaomba awe anasifiwa
 
tatizo nyani anajiona anajua kila kitu.Anajiona yeye yuko perfect sana.mawazo yake mengi ni positive lakin ni mtaalam kulisha watu matangopori

Nyani yupo upande wa dhulma, na dhulma haiwezi kushinda haki hata siku moja. Ni suala la muda tu CCM wataondoka, iwe kupitia Lissu au mtu mwengine yoyote.
 
Duh membe ameachwa solemba, haha haamini anachokiona

Ama kweli hii nchi ina upinzani imara.
 
Tatizo binadamu ni wabishi sana...

Ni sawa na kungoja mwenzako aumize kichwa na kutoa nyimbo alafu wewe kiulaini kabisa uje kuitolea cover au remix...

Cc: mahondaw
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Kwa hiyo hutaki tuwe na uchaguzi ama vp wewe Mhutu? Halaf mbona una kawaida ya kumhofia sana Lissu?
 
Barabara za kikwete zote hizo. Afadhali tundu tu. Hata wtz tunajua kuwa anaweza kuwa rais mzuri, ila mjiandae kutumbukia shimoni
 
..Jiwe ana mihemko kuliko Tundu Lissu.

..Na hata suala la ufisadi hana kashfa yoyote dhidi yake.

..kwa maoni yangu, Lissu anaweza kuwashangaza watu wengi, ukizingatia kwamba anapenda kusoma, na kujifunza, na ni mzungumzaji mzuri ktk majukwaa.

Cc tindo
 
Lissu ataleta upinzani imara dhidi ya Membe 2020.
 
Wewe,Lisu,Shangazi, Mbowe,sababu mnasubir Rais akitamka neno au maneno ndo mnapata cha kuongea,hamna sera,nguvu zote mnazotumia kukejeli,kutukana,kukosoa mitandaoni mngezitumia kueleza sera zenu lingekuwa jambo jema
Inawezekana hata sera zenu hamziamini,mnacho amini ni kejeli,matusi,ukosoaji.

Bold:Mbona hueleweki?Naona unarukaruka tu!
 
Sasa mboba na wewe umeleta mada kwa mihemuko zaidi maana umeonesha barabara, kazi na wajibu wa serikali ni kujenga barabara, kutoa huduma za afya sasa unamsifiaje mtu kwa kazi anayotakiwa kuifanya? I.e kumsifia baba yako kukupeleka shuke wakati hilo ni jukumu lake...
 
Back
Top Bottom